ThaGreatman
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 708
- 1,466
- Thread starter
- #41
Mtungi una gas nyingi tu, (20,000/= tu)Mimi nahitaji huo mtungi tu, itakuwa bei gani?
Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
Mtungi una gas nyingi tu, (20,000/= tu)Mimi nahitaji huo mtungi tu, itakuwa bei gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu punguza bei..mbona hiyo chumvi imeshaisha kabisa hapo...ingekuwa bado imejaa jaa sawa!!
Hahahaha wabongo bhana, tangazo linajieleza vizuri tu, unanitaka.nitaje Bei tena?Embu kuwa serious mimi nataka hivyo vitu itakuwa shilling ngapi?
Sasa wananipotoshaje na mimi ndiye niliyenunua?Hakuna vitu vya thamani ya 380k hapo, acheni kumpotosha.... ingekuwa pamoja na kodi kwa hiyo pesa angalau.
Nyie laki 4 mnaichukulia poa eeh!
Ndio vyote 380k wow..... Ngoja nifanye mpango PM fasterSasa wananipotoshaje na mimi ndiye niliyenunua?
Mchanguo wa haraka nikivyonunua mimi, mwezi wa saba tar.28,2020!
1. Dodoro DODOMA QFL 5×6 nchi 10, 180,000/=
2. Kitanda mbao ngumu, 210,000/=
3. Meza ya kusomea 110,000/=
4. Kiti cello 15,000/=
5. Mtungi wa gas na gas yake (oryx 55,000/=)
Hapo sijagusa mapazia, sufuria, vyombo vya ndani, mashuka n.k!
Hapo tu unapata sh.ngapi?
Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
Karibu sanaNdio vyote 380k wow..... Ngoja nifanye mpango PM faster
Hakuna meza ya 110,000 hapoSasa wananipotoshaje na mimi ndiye niliyenunua?
Mchanguo wa haraka nikivyonunua mimi, mwezi wa saba tar.28,2020!
1. Dodoro DODOMA QFL 5×6 nchi 10, 180,000/=
2. Kitanda mbao ngumu, 210,000/=
3. Meza ya kusomea 110,000/=
4. Kiti cello 15,000/=
5. Mtungi wa gas na gas yake (oryx 55,000/=)
Hapo sijagusa mapazia, sufuria, vyombo vya ndani, mashuka n.k!
Hapo tu unapata sh.ngapi?
Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
Hofu ni Jambo zuri, lakini hofu pia ni udhaifu mkubwa sana, mkuu unapigwaje ukiwa na akili timamu, ukijua wazi kwamba Kodi inalipwa kwa contract Kati ya mpangaji na mwenye nyumba?Anataka kupigwa mtu hapa. Haya mtatuletea majibu baadae. Ila hapo hakuna cha chumba wala kodi. Mtu ataliwa hela ya kodi. Kabla ya kupanga hakikisheni mna jua mmiliki halali wa hiyo nyumba. Msiie mkaletewa mmiliki fake.
Angalizo. Kwa jinsi wanafunzi wanavyo hangaika na hostel au vyumba vya kupanga. Wala hakuhitaji kuja jf kutangaza. Tangazo hili angeliweka Magufuli hostel au mabibo au main campus angeshapata watu zaidi ya mia. Watanzania msipende sana bure au rahisi. Kuweni makini.
Kuna dalili ya mtu kupelekwa kwa mwenye nyumba fake na kupigwaHofu ni Jambo zuri, lakini hofu pia ni udhaifu mkubwa sana, mkuu unapigwaje ukiwa na akili timamu, ukijua wazi kwamba Kodi inalipwa kwa contract Kati ya mpangaji na mwenye nyumba?
Pili, ukiwa na mashaka si unaamua kwenda hata serikali za mitaa, wakili au hata mahakamani kuhakikisha usalama wako?
Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
Hahahaaa, [emoji847][emoji847]Tutaaminije, hebu piga picha ya mtungi unavyowaka!
Serikali ya mtaa fake,wakili fake mpaka mahakama fake?Kuna dalili ya mtu kupelekwa kwa mwenye nyumba fake na kupigwa
Hahaha,madogo mna dharau sana nyie, yaani unahisi nauza kwa sababu sina nauli?Mkuu naomba nikutoe wasiwasi, nikuhakikishie tu kuwa hivyo vitu huwezi kupata mteja... kama huna haraka endelea kupiga picha utapata japo nauli ya kurudi mkoa.
Utalipia kodi ya miezi iliyobaki,(miezi 3×70,000) hapo unakuwa ume-save pesa ya dalali...coz mwezi wa tano mtakapokuwa unalipia utakuwa hauna extra gharamaUza vitu nije nichukue chumba, nina kodi mkononi na vitu ninavyo. AM SERIOUS