Recent content by kunyumba

  1. K

    Samwel Sitta: Msimamo wa Maaskofu hauna nguvu yoyote

    Ninachounga mkono ni tamko lao kuwa mchakato haukuwa wa kidemokrasia, wana haki na wajibu wa kutuambia ukweli. Kipindi iliposemwa kikwete chaguo la mungu hakuna aliyepiga kelele leo wanaleta maoni tofauti inaonekana tatizo... Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  2. K

    Naseeb Abdul (Diamond Platinumz), akaliwa kooni na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

    Hahaha, mlongo wangu nimekupata na hilo la mwisho, Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  3. K

    Mahakama ya Kadhi ni nini?

    Usitumie Nguvu mkuu, hayo mabaraza is ya kiimani, misamaha ya kodi hata waislam wanapata kwa taasisi zao. bado tunashauri waislamu muendeshe mambo yenu kwa gharama zenu. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  4. K

    Wahitimu wa D.I.T wako fit pratically ukilinginisha na UDSM wanaosoma Engineering

    Well said, na note kwa mtoa mada,kuna tofauti kati ya fundi na Engineer na Tanzania yetu haijui yupi atumike wapi... Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  5. K

    Tahadhari: Usiamini benki za tanzania hata kidogo, ni majambazi

    Ukweli mtupu, nimefanya hivyo baada ya kuzinguliwa na stanbic Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  6. K

    Dhana ya CHADEMA kuleta "UKOMBOZI WA PILI" na ubutu wake

    Acha wivu usio na msingi,kiukweli wale wanafunzi kupotea ni mpango wa serikali kutojua iliwapeleka kule ili waje kufanya nni kwa nchi hii after,wengi walikuja kushituka wako chuo na hakuna mpango wowote unaoendana na ushindani waliokuwa nao walikotoka,hakukua na mpango wowote wa kuwatumia baada...
  7. K

    Zitto: Serikali ya Kikwete imekosa uhalali wa kutawala!

    Kwako ukweli ni upi,yeye kaeleza yake na wewe tueleze yako... Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  8. K

    Fahamu athari za jiji la Dar kipindi Wachagga wakienda Moshi kula sikukuu

    Labda hiyo ya mbege kukosa wateja,otherwise hamna tofauti yoyote... Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  9. K

    Mtajeni Mwanasiasa Aliyetema Pumba Zaidi 2012

    Speculations and base on suspicious basis...mengi ni mtazamo wako tu. Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  10. K

    Hebu taja manahodha watano katika Soka unaowakubali Duniani...

    Not complete without Roy Keane,Lucas Radebe n David Beckham... Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  11. K

    Merry Christmas to All Manchester United Fans

    GGMU n forever united Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  12. K

    HOT:Angalia uefa na ligi zote bure

    Bila kusahau Zantel 3G na EVDO fresh tu... Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  13. K

    Waislamu tukatae udini wa akina Ponda

    Tupe hoja za uthibitisho mkuu Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  14. K

    Benjamin Mkapa: Watanzania mtanikumbuka

    Well said mkuu,ukiangalia zile scene za kariakoo huoni waislam tunaowajua bali wahuni tu ambao hata kueleza agenda iliyowapeleka pale ni utata. Mungu ibariki TZ. Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Back
Top Bottom