Recent content by kuntaitunai

  1. kuntaitunai

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria ya kazi

    Ok a quick one, kwanza kabisa HR alitakiwa akupe confirmation letter ya resignation yako, ikiainisha barua yako ya kujiuzulu kazini wameipokea lini na wao wamekubaliana na maombi yako ya kujiuzulu lini ikienda sambamba na issues za stahiki zako za mwisho wa ajira yako. Fact ya kutokuwa na...
  2. kuntaitunai

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria ya kazi

    Kilichokufanya kuacha kazi ni nini..? Je ni kutoka na wao kukunyima mkataba au ni sababu zipi hasa zimepelekea..? From there ndo kwa mtazamo wa kisheria unaweza kuestablish grounds za kuclaim hizo haki zako. Lakini pia uliachaje kazi..? Kwa utaratibu wa kisheria i mean resignation kwa barua au...
  3. kuntaitunai

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali imedanganya Umma? Wako wapi wenye vyeti feki waliorejeshwa kazini au kulipwa mafao yao?

    Mbona kuna watu wameshapokea barua za kurejeshwa kazini..? Na wengine walishafungua mafao wanasubiri tu malipo yao, au hatufatilii wanandugu...?
  4. kuntaitunai

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Museveni hajaenda kuzuru kaburi la Hayati Magufuli Chato?

    President @KagutaMuseveni concluded his state visit to the United Republic of Tanzania with a visit to the ancestral home of the Late Tanzania President,John Pombe Joseph Magufuli. He paid his respects & laid a wreath on the grave of the former head of state. Courtesy: Uganda State House
  5. kuntaitunai

    JamiiForums Tanzania Wakuu, si nimefanya maamuzi sahihi?

    [emoji419]
  6. kuntaitunai

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye hizi tabia wanastahili heshima sana na kuthaminiwa

    KENY THOMAS, uje huku
  7. kuntaitunai

    JamiiForums Tanzania Please read it carefully and run it with your contacts

    Source kaka Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kuntaitunai

    JamiiForums Tanzania Hujuma: Kituo cha afya Makole (Makole health center)

    wasiliana na wasimamizi wa huduma Mganga Mkuu wa Kituo hicho namba 0783 336545 atakupa ushirikiano wako, kama huenda ulikereka kwa namna moja au nyingine ila kimsingi uchunguzi wa kilichotokea usiku ule na maada uliyoileta ni two different things kabisa hivyo tuwe wavumilivu wa kuangalia namna...
  9. kuntaitunai

    JamiiForums Tanzania Unayopaswa kuyafahamu kuhusu Filamu mpya ijayo ya James Bond.Mtz Lupita ndani!

    Akiprove hili nitag mkuu.
  10. kuntaitunai

    JamiiForums Tanzania Msanii atumia Tsh Bilioni 230 kununua ndege yake

    Hii tuiweke pale kwenye self esteem, maake najua hapo anahitaji respect tu and prestige.
  11. kuntaitunai

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu mwenye umri wa miaka 39 anataka kuoa binti wa miaka 22

    Mwambie amwache mtoto.
  12. kuntaitunai

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Area code, Heineken house nikukiwasha tu.
  13. kuntaitunai

    JamiiForums Tanzania Magufuli Kwenye Kikao cha kumshauri agombee urais: Nikichaguliwa, watu watalimia meno

    Nilitaka kuchangia ila nimepata ugumu flani, huenda ungenifafanulia how TISS?
Back
Top Bottom