Hii isue ya 25% kwa jeshi la police wanapewa 38% Juzi kati mshua kaitwa kupewa hiyo taarifa nae kapanic kivyake. Ilikuwa siku kadhaa kabla ya hii 25% kuwa public. Sasa sijajuwa by now nao wamehusishwa kwenye hiyo 25% au laa!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.