Ethical Ninja CEH
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 3,695
- 5,052
Kama wanajuana it's okay. Ila kama hawajuani tatizo halaf wote wanakuja kwa wakati mmoja mkuu...?
Simple, unawaambia sipo
Kama wanajuana it's okay. Ila kama hawajuani tatizo halaf wote wanakuja kwa wakati mmoja mkuu...?
Hii ni siri ya kijeshi ila wengine tulibarikiwa tuSasa hapo ungefanyaje mkuu...?
Usiogope mtaniDuuh! Kwa hili Wanaume Mungu ana waona aiseee.
Nisiogope Mtani wakati inajionyesha.Usiogope mtani
Hahahaaa. Jitowe tu Pacha na uthiwemo maana Mtu mwenye tabia hiyo hata kama atasema anakula ujana hiyo ni zaidi ya kula ujana.HaHahahahah, mie hata thimo mwaya. Lol.
Unachosema ni kweli kabisa my loveliest twin nafkiri huyo itakuwa anakula ujana na uzee vyote kwa pamoja pacha wng kpnz mwaya. Mana sio kwa list hiyo my lovely. Lol.Hahahaaa. Jitowe tu Pacha na uthiwemo maana Mtu mwenye tabia hiyo hata kama atasema anakula ujana hiyo ni zaidi ya kula ujana.
Hahahahah, ukiwa mtu wa ahadi nyingi kama hizo hutakiwi uwe msahaulifu ni lazma uwe na kumbukumbu laa sivyo unaweza ukajikuta unachanganya madawa hivi hivi my loviest twin. Hahah.Wanawake wote hao. Pia Pacha huyo jamaa atakuwa sio msahaulifu aisee. 😂😂😂