moudytz
Senior Member
- Sep 10, 2017
- 150
- 180
Mimi ni mkulima wa nyanya nipo Singida.
Sio mbaya tukabadilishana uzoefu kuhusu zao hili ambalo kimsingi zao hili linawatoa sana watu ukilima ipasavyo. Hebu tuambiane upo mkoa gani na mbegu ipi unatumia na vipi changamoto mnazo kabiliana nazo kwa kipindi hichi na soko kwa ujumla hiyo sehemu ulipo.
Natanguliza shukrani wakuu.