Recent content by kunaguero

  1. K

    Ndege ya Qatar C17 iliyosafirisha twiga ilipata kibali

    umechanganyikiwa wewe siyo bure!
  2. K

    Mtwara: Kifaru cha JWTZ chaiparamia nyumba na kusababisha vifo!

    Kwa hiyo wasubiri vita ndo waanze kujifunza?
  3. K

    Ndege ya Qatar C17 iliyosafirisha twiga ilipata kibali

    Wanyama na jeshi wapi na wapi? Jeshi halona mkono hapo. Wanaohusika wachukuliwe hatua
  4. K

    JWTZ na ulinzi wa Katiba ya nchi

    Nimependa sana mlivyojibu vizuri! Niongezee kuainisha majukumu us jeshi ni haya yafuatayo; 1)kumwangamiza adui atakayevamia mipaka ya nchi yetu ardhini, angani, au majini 2)kulinda mipaka ya nchi yeti 3)kusaidia mamlaka za kiraia katika maafa mbalimbali yakitokea 4)kusaidia kurejesha amani...
  5. K

    Rais Kikwete akanusha kumuokoa Ridhiwani katika kesi ya dawa za kulevya China

    Mh! China nao ni wajinga kiasi hiki? Mungu ibariki Tanzania
  6. K

    Utafiti: Taifa linaangamia na Ushoga ( Picha )

    Tatizo ni wateja wao pia! Siku moja nilikaa ktk bar moja kwa starehe zangu mara dogo kaja na tabia za kike anaomba nitoke nae tena anasema kabisa kazidiwa anahitaji mwanaume! nilimshushia kibano siyo kidogo akakimbia na mabaunsa wa pale wamesema hajawahi kurudi tena! wanaume tuliokamilika...
  7. K

    Nimetapeliwa na mdada wa TPDF, ushauri wenu tafadhari

    Napata shida sana na watu Wa aina yako! Lkn inawezekana ulikuwa hujui! Mie pia mwaka 2009 nlitapeliwa na jamaa anaitwa Dominick lkn nmesamehe hadi kesho nakutana nae! Kazi za jeshi jamani hazipatikani kwa njia hiyo, mtu akiamua anakupa nafasi lkn si kwa kutoa pesa! Pole sana, kama hutajali njoo...
  8. K

    leo tarehe 5 March 2014 ni Jumatano ya majivu

    Na hayo uliyoandika umeongozwa na maandiko? Kazi ipo
  9. K

    Eneo la Oysterbay Police lauzwa kwa mwekezaji!

    Wizi mwingine huo!
  10. K

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Big up wote! mliochangia, natamani vijana wote wa sasa tungepita huko!
  11. K

    Chuo kikuu cha Dar es salaam kimekuwa cha nne kwa ubora Africa na cha kwanza A.Mashariki

    Maada ya UDSM huzua mtafaruku! cjui kwa nini? chuo kinapigwa vita sana! anyway wote tuna exist wa UDSM na wengine wote pamoja
  12. K

    Kikwete asimulia alivyoiba wali JKT!

    Anakumbuka enzi zake! binafsi nadhan inafurahisha sana pia ni faraja ukikumbuka vitu ulivyofanya utotoni! pia nikikaa na kukumbuka matukio ya utotoni hufurahi na kucheka mwenyewe
  13. K

    Maofisini vijana wakitanzania wavivu na wezi

    Kwani ni asilimia ngapi ya vijana waliosoma UDSM? Hizo ni chuki hao kina zito,Mdee,Lissu(respect to them) wamesoma wapi? maada ni vijana wa Tanzania na siyo chuo walichosoma, wengi ni form four six na graduates!so kimsingi ni vijana wavivu! Hapo napata kujua pia wana wivu na majungu! tubadilike
  14. K

    Kujiunga na Kijiji kisha Kupewa Shamba!!

    Inawezekana kabisa! mimi nilishaenda kijiji karibu na maneromango jina nmesahau labda nikisoma document baadae walinipokea vizuri! ekari kumi za kuanzia
Back
Top Bottom