Nyerere anawaita kwa jina la 'manzanyanga'Mtoa rushwa na mpokea rushwa wote ni watuhumiwa
dada huyu anaitwa Tiba Abdallah ni askari JW, makao makuu JKT, nimaliza nae form four 2008 Nyanduga sec,mwaka jana alinipigia cmu kuwa kuna nafac za jw zimetoka nimtumie pesa na vyeti kwenye email,nikamtumia, hadi leo hii cmu hapokei sms hajibu nikipiga namba mpya akickia sauti yangu anakata facebook ameniblock, nifanye ndugu zangu nimloge,
Nifatilie makao makuu ya jeshi maana uthibitisho wa sms za m pesa upo,npo mkoani nifunge safari nikafatilie dar?,tafadhari watanzania nishaurini nimfanyeje mtu huyu, inaniuma kutapeliwa na mmtu ninaemfahamu na pesa yangu ni zaidi ya laki mbili wapendwa?
kwa kuwa unaamini uchawi we kamloge tu

laki mbili ufunge safari? wewe ni mpare?