leo tarehe 5 March 2014 ni Jumatano ya majivu

leo tarehe 5 March 2014 ni Jumatano ya majivu

Tulibatizwa tukiwa watoto, hatukujua nini maana ya ubatizo, tulifundishwa kipaimara tukiwa bado wachanga wenye kuamini kila mkubwa anachojua kuwa ni ukweli, JE sasa tumekuwa watu wazima haturuhusiwi kutaka kujua kwa undani ukweli wa imani yetu? Je ni nani atakae tufundiha ukweli huu?

Hapo kwenye read, hiki ndicho ninachokifanya. THANK YOU.

Kwahiyo ukishajua hivyo utabatizwa tena au ukijua ndivyosivyo ndo utahama dhehebu.
 
Asante kwa matusi, Sitaki vita na wewe, lengo langu halikuwa hapo ulipofika, lengo langu ilikuwa ni kufundishana tu, Thanks by the way
HOSEA 4:6

(OVER AND OUT)

Hebu wacha kulialia hapa kama mtoto mdogo....Wapi nimekutukana wewe....? Unajua kutukanwa...? Sijaona mahali ambapo ulikuuwa unataka kufundishana bali nimeona kejeli na kujivisha cheo ambacho hustaili...
 
Tulibatizwa tukiwa watoto, hatukujua nini maana ya ubatizo, tulifundishwa kipaimara tukiwa bado wachanga wenye kuamini kila mkubwa anachojua kuwa ni ukweli, JE sasa tumekuwa watu wazima haturuhusiwi kutaka kujua kwa undani ukweli wa imani yetu? Je ni nani atakae tufundiha ukweli huu?

Hapo kwenye read, hiki ndicho ninachokifanya. THANK YOU.

Wewe ndio maaana nikakuita ni pepo.....Unafundishwaje mafundisho ya Kipaimara ukiwa mtoto mchanga....? Ndo maana nikasema wewe ni pepo unaojifanya Mkatoliki lakini si Mkatoliki..... Halafu ni ukweli gani wewe unauongelea...?

narudia kusema tena pilipili usizozila zinakuwashia nini...Fuata yanayo kuhusu la! Kama ni Mkatoliki (though najua unadanganya)...Nenda huko ambako unaona una-fit na roho yako inasuhuzika....
 
Kwahiyo ukishajua hivyo utabatizwa tena au ukijua ndivyosivyo ndo utahama dhehebu.
Did i say anything about Dhehebu?, i said about faith, christian faith.

John 8:32 32and you will know the truth, and the truth will make you free.
John 1:17 For the law was given through Moses; grace and truth came through Jesus Christ.
John 8:36
So if the Son sets you free, you will be free indeed.
Galatians 5:1
It is for freedom that Christ has set us free. Stand firm, then, and do not let yourselves be burdened again by a yoke of slavery.

We naona unataka kuchafua hali ya hewa hapa...Tafadhali sana kijana!!!!!!!Wewe si Mkatoliki sasa huku unafuata nini...Unajua ndio maana watu wengine mnakuwa na stress za ajabu katika maisha yenu simply kwasababu mnafuatilia ya watu..

Halafu ngoja nikuambie kitu ukiona mtu anafuatilia mambo ya boma ya mwenzake akayaacha ya bomani kwake basi ujue anamatatizo katika boma lake...Tengeneza kwako, fuata yanayokuhusu, fanya yanayokuhusu na yasiyokuhusu yaache....Utapata ugonjwa wa moyo bure...
 
Unataka nani akakosomee? Hapa ingekuwa Wakristo wanaelezea jinsi gani mnavyofunga ungepandwa na jazba lakini unaonekana jinsi gani usivyokuwa na busara katika kuheshimu imani za wenzanko...........

Mara nyingi nyie Wagalatia kinachoandikwa (andiko) na maelezo yenu ni tofauti ! .....nimehoji hilo unatokwa na povu.
Ni wazi ile 1 Wakorintho 7:1-5, yale ni maelezo yako na mawazo yako.
 
labda hujajua tu ndugu, mimi kama mkatoliki nikifunga ninachofanya ni kwamba, kiasi cha chakula ama fedha ambacho ningekitumia asubuh na mchana, badala yake natoa kwa wasiojiweza kama wazee, ama watu wenye shida mbalimbali kama wafungwa, watoto yatima, hii ndio sadaka na mfungo wa kweli na sio kulimbikiza ili jioni iwe kama mlima wa msosi hata sungura haruki, hapana, huo utakua ni unafiki.

....ujanja ujanja tuu !...hiyo wazi si kufunga ni kitu kingine kabisa, mnajua shughuli ya kufunga ilivyo ngumu, sasa m'meamua kujiwekea kautaratibu ka kibinaadamu:nono:
 
Unataka nani akakosomee? Hapa ingekuwa Wakristo wanaelezea jinsi gani mnavyofunga ungepandwa na jazba lakini unaonekana jinsi gani usivyokuwa na busara katika kuheshimu imani za wenzanko...........

........nyie mnacheza tuu !

'Enyi Mlioamini (Waislaam) mmeandikiwa (kufunga) Saumu, kama walivyo andikiwa (watu) walio kuwa kabla yenu (watu wa Tourat, Zaburi na Injil) ili mpata kumchaMungu
Qur'an:2:183.

'(Mfunge) siku maalum za kuhesabika. Na atakaye kuwa miongoni mwenu ni mgonjwa au yumo safarini, basi atimize hisabu katika siku nyingine. na wale wasioweza, watoe fidia kwa kumlisha maskini. Na atakaye fanya wema kwa kujitolea, basi ni bora kwake. Na mkifunga ni bora kwenu, kama mnajua.

Mwezi wa Ramadhani ambao umeteramshwa humo Qur'an kuwa ni uwongofu kwa watu. Hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi. Basi atakaye kuwa mjini katika mwezi huu naafunge. Na mwenye kuwa mgonjwa au safarini, basi na atimize hesabu siku nyingine. Mwenyezi Mungu anakutakieni yaliyo mepesi wala hakutakieni yaliyo mazito, na mtimize hiyo hesabu, na mumtukuze Mwenyezi Mungu kwa kuwa amekuongoeni ili mpate kumshukuru.
Qur'an:2:184-185.
Zipuwawa una maelezo zaidi ya haya !
 
........nyie mnacheza tuu !

'Enyi Mlioamini (Waislaam) mmeandikiwa (kufunga) Saumu, kama walivyo andikiwa (watu) walio kuwa kabla yenu ili mpata kumchaMungu
Qur'an:2:183.

'(Mfunge) siku maalum za kuhesabika. Na atakaye kuwa miongoni mwenu ni mgonjwa au yumo safarini, basi atimize hisabu katika siku nyingine. na wale wasioweza, watoe fidia kwa kumlisha maskini. Na atakaye fanya wema kwa kujitolea, basi ni bora kwake. Na mkifunga ni bora kwenu, kama mnajua.

Mwezi wa Ramadhani ambao umeteramshwa humo Qur'an kuwa ni uwongofu kwa watu. Hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi. Basi atakaye kuwa mjini katika mwezi huu naafunge. Na mwenye kuwa mgonjwa au safarini, basi na atimize hesabu siku nyingine. Mwenyezi Mungu anakutakieni yaliyo mepesi wala hakutakieni yaliyo mazito, na mtimize hiyo hesabu, na mumtukuze Mwenyezi Mungu kwa kuwa amekuongoeni ili mpate kumshukuru.
Qur'an:2:184-185.
Zipuwawa una maelezo zaidi ya haya !

Sina maelezo kwani tabia yangu ni kuheshimu IMANI za dini nyingine.......Na sipo kwaajili ya malumbano ya dini furani amini unachoamini na niamini ninachoamini swala la kufunga ni imani na si kingine.Namalizia kusema tuacche tudumu katika imani zetu hiyo ndiyo Busara.
 
Zipuwawa
'Sema: Enyi Makafir,

Siabudu mnacho kiabudu,

Wala nyinyi hamuabudu ninae muabudu,

Wala (mimi) :nono:sitaabudu mnacho kiabudu,

Wala nyinyi hamtamuabudu ninaye muabudu,

Nyinyi mna dini yenu na mimi nina Dini yangu.

Qur'an:109:1-6
 
Last edited by a moderator:
zipuwawa
'sema: Enyi makafir,

siabudu mnacho kiabudu,

wala nyinyi hamuabudu ninae muabudu,

wala (mimi) :nono:sitaabudu mnacho kiabudu,

wala nyinyi hamtamuabudu ninaye muabudu,

nyinyi mna dini yenu na mimi nina dini yangu.

qur'an:109:1-6
sasa kinachokusumbua nini?
 
Back
Top Bottom