Recent content by kumbemba

  1. kumbemba

    Mnyika na maji ya shingo Kibamba

    Mimi ni mwana Goba, hapa Goba ni Mnyika tu. Wengine hata hatuwajui.
  2. kumbemba

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Ukawa, Lowassa
  3. kumbemba

    Nini sababu ya kutoka shahawa wakati wa kujisaidia?

    Sababu kubwa huwa ni uambukizi kwenye tezi dume (Prostate). Nimeshawaona wagonjwa wa aina hiyo na kuwatibu. Cha muhimu kufika hospitali na kuonana na daktari afanye kipimo. Hicho unachodhani ni shahawa inaweza kuwa sio. Utapewa chupa hospitalini ambayo utaombwa kupeleka hicho kinachotoka...
  4. kumbemba

    Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    Chakaza, hapo umenena.
  5. kumbemba

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Ukawa, Lowassa na Duni
  6. kumbemba

    Maswali ya kijinga na majibu ya hasira. Ongeza na ya kwako

    Umejikwaa, unaugulia maumivu, alafu mtu anakuuliza umeumia, taratibu unamjibu hapana nimeliumiza jiwe Hii ni funga kazi!
  7. kumbemba

    Mnyika unaleta vurugu Bungeni wakati Ubungo Makoka barabara imechakachuliwa

    Mtoa hoja inaonekana uelewa wako wa kazi za mbunge na watendaji wa halmashsuri hauko vizuri. Yaani ungejua anachotetea Mnyika pale bungeni ni kwaajili ya watanzania wote na kwa vizazi vijavyo ungemshukuru. Mnyika jembe letu lazima arudi mjengoni tena.
  8. kumbemba

    Msaada jamani... Nimevurugwa!! :-)

    Unaanzia the 1st day of the last menstrual period. Ili kujua tarehe ya matazamio unajumlisha 7 kwenye tarehe na kutoa 3 au kujumlisha 9 kwenye mwezi. Unapata tarehe ya matazamio kujifungua. Mfano kama alianza period 20.04.2015, tarehe ya matazamio kujifungua itakuwa 27.01.2016. Maana yake mpaka...
  9. kumbemba

    Msaada jamani... Nimevurugwa!! :-)

    Umri wa Ujauzito unaanza kuhesabiwa siku ya kwanza ya kuanza period ya mwanamke kabla ya kupata ujauzito. Na ni wiki 40 +/- 2 mpaka kujifungua. Unanipata mkuu?
  10. kumbemba

    Pitia hapa ujue faida za sperms

    Saline solution, chumvi iliyoyeyushwa kwenye maji ikisukumwa ndani ya uterus ya mama ambaye ni mjamzito mimba inatoka. Hilo halina ubishi.
  11. kumbemba

    Pitia hapa ujue faida za sperms

    Kinachotakiwa kuelezwa kisayansi ni mechanism of action sio analogy. Nakubaliana kabisa zinaa ina madhara kiafya ya mwili na saikolojia. Ninachoona hakipo sawa ni kuelezea jambo la kisayansi kwa kutumia mawazo yasiyo na uthibitisho. Kwa mfano kusema acid iliyoko kwenye manii ndio inawalegeza...
  12. kumbemba

    Pitia hapa ujue faida za sperms

    Kuna mengi ya ukweli na mengi yasiyo na ukweli kisayansi katika maada hii. Ukisema manii inapanda kwenye mazima kwa mama anayenyonyesha hiyo unaielezeaje kisayansi?
  13. kumbemba

    Mashamba ya kukodi na kununua Rufiji

    Hii habari naingoja pia
  14. kumbemba

    Natafuta rafiki wa kiume

    Yap! Patamu
Back
Top Bottom