Mnyika na maji ya shingo Kibamba

Mnyika na maji ya shingo Kibamba

Pyeeeeeeee.. Katika watu wanausubiri kuapishwa ni Mnyika. Yani mama wa utii wa roda hachomokiiiii. Amuulize Hawa Ng'umbi na uwezo aliokuwa nao.
 
acha uongo wewe,mpaka sa HV mnyika kashafanya mikutano zaidi ya ishirini,mgombea was uoande was pili ye anatembeza faranga tuu usiku. Mnyika kibamba ushindi mapeemaa
 
Nimeipokea hii kama suprise nlihisi kwamba anaweza kuwa hata ana masters ya kada flani.

Kweli janjajanja na wababaishaji ndo wana nyadhifa nyeti hapa nchini.

Mungu atusaidie what a confused and lost society.

Tanzania nchi yangu nakupenda kwa moyo woote.

Kwan masts ndio sifa ya kuwa kiongoz!na wale wasomi wanaoongeaga pumba bungeni
Kibamba twende na mnyika
 
Mkandala ndo amekutuma? Mwambie wenye Kibamba wanemsindikiza Mnyika Dodoma kusubiri kuapishwa. Mwambie mamako atafute kazi ya kyufanya.
 
Mnyika atakuwa mbunge wa kwanza kufungua milango ya bunge.
 
Mimi ni mwana Goba, hapa Goba ni Mnyika tu. Wengine hata hatuwajui.
 
naishi mbezi huku wenyeviti wa mtaa ni chadema ccm haijulikani huku kwani ccm mgombea wao ubunge ni nani huku kibamba maana kila siku na kila mahali mikutano ya mnyika tuuu.hana mpinzani na anajiweza pekee ni sawa na wabunge 100 wa ccm
 
Makamanda hali ni mbaya sana kwa Mnyika jimbo la Kibamba, hii ni baada ya movement inayoendelea chini kwa chini ya wanachama wa Chadema Asilia na mgombea wao, wanasema ameamua kuwasaliti baada ya kutukuza mafisadi waliovamia chama.

Mikutano ya Mnyika imekosa watu, mbinu anayotumia sasa ni kupita majumbani akiambatana na mateja bila kuweka mikutano ya wazi tofauti na hapo awali.
Hizi ajira za Lumumba zinapatikanaje MKUU? Ninaweza kufanya Kaz kwa ufanisi sana kuliko mliopo.
 
Back
Top Bottom