Mashamba ya kukodi na kununua Rufiji

Mashamba ya kukodi na kununua Rufiji

zoeman

Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
47
Reaction score
2
Habarini wanajamvi

Naomba kujuzwa upatikanaji wa mashamba ya kukodi na kununua huko rufiji uko vipi? Siku za nyuma nilianzisha thread ya mashamba ya kukodi huko ruvu, na napenda kuwashukuru sana wale waliotujuza wengi na taarifa za mashamba huko ruvu, nilikuja kufahamu kuwa shamba la kukodi Ruvu kwa ekari moja na laki moja na kununua na laki tano kwa ekari moja

kabla sijafunga safari na kwenda kuyacheki hayo mashamba huko Ruvu, nikasikia tetesi ya kuwa rufiji kuna mashamba mengi tu na ghalama ya kukodi ekari moja ni elfu ishirini na maji yanapatikana, hivyo yeyote yule mwenye ufahamu wa mashamba hayo ya Rufiji, tufahamishane vizuri kwa manufaa ya wengi hapa jamvini!!!!
 
Hakuna aliepata majibu hapo juu???

Naona wadau bado hawajaleta mrejesho wa mada hii.

Mdau mmoja ([MENTION]usiniguse[/MENTION]) aliahidi kufanya utafiti na kuleta mrejesho wa mashamba ya Rufiji.
 
Nimeambiwa kuwa maeneo ya Kibiti (around 130 km from Dar) mashamba yapo yanauzwa Tshs. 60,000 (elfu sitini tu) Kwa ekari moja na yana rutuba sana. Mihogo, mananasi na ufuta vinastawi Kwa sana.
 
nimeambiwa kuwa maeneo ya kibiti (around 130 km from dar) mashamba yapo yanauzwa tshs. 60,000 (elfu sitini tu) kwa ekari moja na yana rutuba sana. Mihogo, mananasi na ufuta vinastawi kwa sana.

iko pwani?ufuta wanatoa gunia ngapi?mahndi pato lake likoje?je naweza kupata mashamba yaliyosafishwa kwa kukodi?pls msda hapo
 
Nimeambiwa kuwa maeneo ya Kibiti (around 130 km from Dar) mashamba yapo yanauzwa Tshs. 60,000 (elfu sitini tu) Kwa ekari moja na yana rutuba sana. Mihogo, mananasi na ufuta vinastawi Kwa sana.

Nianze kwa kuuliza untaka kulima zao lipi haswa... Mm nipo maeneo ya Shinyanga 10 km toka Kibiti town. Jirani yangu anauza heka 8 zilizosafishwa tayari. Curently 2nalima ufuta... Karibu ukiwa interested ntafute kwa 0763328830
 
iko pwani?ufuta wanatoa gunia ngapi?mahndi pato lake likoje?je naweza kupata mashamba yaliyosafishwa kwa kukodi?pls msda hapo

mkuu, nadhani unaweza ingawa cna uhakika sana. Kama unahitaji kulima ufuta njoo me ntakupa bure pa kulima hata kama ni heka tano au zaidi...
 
mkuu, nadhani unaweza ingawa cna uhakika sana. Kama unahitaji kulima ufuta njoo me ntakupa bure pa kulima hata kama ni heka tano au zaidi...

nashukuru,,ila shda angu kupata mashamba yaliyosafishwa tayari kulimwa kwa trecta.nahitaji km 50 nakuendelea.km naweza kupata nitashukuru sna
 
nashukuru,,ila shda angu kupata mashamba yaliyosafishwa tayari kulimwa kwa trecta.nahitaji km 50 nakuendelea.km naweza kupata nitashukuru sna

Mkuu, maeneo nilipo mm hakuna uwezekano wa kulima kwa trekta make bado ni maeneo ya mapori. Labda ung'oe vcki... Ukiweza ncheki kwa namba yangu twongee fresh...
 
..@geba mimi nna shamba huko maeneo ya ukwiriri posta unaingia ndani kidogo siyo mbalI sana barabara kibwa ya lami nna ekari 60 ila ni pori sijalilima bado, kama unataka tunawwza fanya biashara....nna uzoefu sana ya maeneo ya huko rufiji pia
 
Mashamba yanapatikana huko mpaka sasa ukwiriri posta ukishuka hapo maeneo ya mbunjo na sehemu zingine mashamba yapo ila kuuziwa na serikali ya kijiji huko bado watu kuamka, ni kweli udongo wa huko ni virgin na una rutuba sana...
 
..@geba mimi nna shamba huko maeneo ya ukwiriri posta unaingia ndani kidogo siyo mbali sana barabara kibwa ya lami nna ekari 60 ila ni pori sijalilima bado, kama unataka tunawwza fanya biashara....nna uzoefu sana ya maeneo ya huko rufiji pia

mashamba ya pori hapana.nina mashamba ya pori pia ambyo hayajasafishwa.
 
mkuu, maeneo nilipo mm hakuna uwezekano wa kulima kwa trekta make bado ni maeneo ya mapori. Labda ung'oe vcki... Ukiweza ncheki kwa namba yangu twongee fresh...

mashamba ya pori hapana.ninayo nia angu kupata yalisofishwa
 
. Lugulu wewe uko maeneo gani hapo
 
Last edited by a moderator:
Nimeambiwa kuwa maeneo ya Kibiti (around 130 km from Dar) mashamba yapo yanauzwa Tshs. 60,000 (elfu sitini tu) Kwa ekari moja na yana rutuba sana. Mihogo, mananasi na ufuta vinastawi Kwa sana.

Hayo mashamba mkuu yana maji e vyanzo vya maji kama ukaribu na mto au uwezekano wa kuchimba kisima chako mwenyewe???
 
Back
Top Bottom