UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
dAAAAA NAONA MAGOGONI TUSHAINGIA MWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA UKAWA
 
Yani malofa mkiona poll za mtandaoni Ndo sehem za kujionyesha kua mko wengi...tutaziona October mnadhani kelele nyingi na bendera,hapa Ndo ushindi, hapa kazi tu, kura..Tutaonana magogoni magufuli akiapishwa
 
Lowassa anaongoza kwani ana mpinzani? Naona kama lowassa anagombea mwenyewe.
 
Yani malofa mkiona poll za mtandaoni Ndo sehem za kujionyesha kua mko wengi...tutaziona October mnadhani kelele nyingi na bendera,hapa Ndo ushindi, hapa kazi tu, kura..Tutaonana magogoni magufuli akiapishwa

We mjinga tunapiga kura hapa au haujaelewa?maneno mengiyotehayo yanini?chagua unachokipenda,ukawa au ccm hatutaki mapovu hapa.
 
Mbona rais anafahamika...
We huwezi kumlinganisha lowasa na magufuli big up rais mtarajiwa Edward Lowasa
 
tuongeeee yote lakini tukapige kuraaaa jaman kuikomboa tanzania katika mafisadi
 
Wanabodi,

kulikuwa na poll hapa kwa wasomaji wa JF kupiga kura (mara moja tu) kuonesha chaguo lao kwenye uchaguzi wa mwaka huu.

Mpaka mada hiyo inafungwa kwa sababu zisizojulikana, UKAWA walikuwa wanaongoza kwa kura zaidi ya asilimia 80.

Haijajulikana bado ni kwa nini ile poll imetolewa ila nina theories zifuatazo:

1. ccm wamechukia kwa vile walikuwa wamegalagazwa vibaya sana so wametoa kitisho kwa mdogo wetu Max

2. Kuna hila ya kuanzisha poll nyingine ambayo watai-controll wenyewe ili waweze kupika matokeo

====nina wasiwasi namba mbili inaelekea kwenye ukweli====

Angalizo kwa wanaukawa,

ikianzishwa poll mpya hapa, ikataeni na mlazimishe ile ya zamani ifunguliwe ili wananchi waendelee kupiga kura,

mabao ya mikono hadi jamiiforum? this is too much
 
Nina wasiwasi hii mada yangu itafutwa muda si mrefu na mie mwenyewe kufungiwa

hii forum haitabiriki anymore
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom