Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

Habiri wakuu,

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka isiyozidi 29 lakini haipo chini ya 25. Natafuta rafiki wa kiume mwenye Umri usiopungua miaka 30 but usizidi miaka 45. Awe anapenda kusocialize, asiwe anakariri kila kitu, awe pia anajua kubadilika kutokana na mazingira (coz hata mie nahisi nina sifa hizo)

Mwenye sifa hizo please unakaribishwa au hata kama unamfahamu mtu mwenye sifa hizo mwambie namtafuta kwa kweli.

Note:
Maisha ya upweke yamenishinda mie, natafuta wakubadilishana nae mawazo na pia nataka kumkabizi moyo wangu.

Karibuni

I'm 29yrs, ila naomba kuwa rafiki tu maana naona nipo nnje ya vigezo, vipi naruhusiwa lakini?
 
avatar32662_1.gif

dah... basi bibie Display Name! najitahidi kutuma PM yenye namba yangu ya M pesa lakin inagoma!
 
Last edited by a moderator:
Duh hapo sina sifa hata moja ,akitokea anayependa mwanaume mlevi na mzinzi mniambie
 
Habiri wakuu,

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka isiyozidi 29 lakini haipo chini ya 25. Natafuta rafiki wa kiume mwenye Umri usiopungua miaka 30 but usizidi miaka 45. Awe anapenda kusocialize, asiwe anakariri kila kitu, awe pia anajua kubadilika kutokana na mazingira (coz hata mie nahisi nina sifa hizo)

Mwenye sifa hizo please unakaribishwa au hata kama unamfahamu mtu mwenye sifa hizo mwambie namtafuta kwa kweli.

Note:
Maisha ya upweke yamenishinda mie, natafuta wakubadilishana nae mawazo na pia nataka kumkabizi moyo wangu.

Karibuni

Sidhan kama uko serious nishakwambia nipo lkn UK kimya!
 
Habiri wakuu,

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka isiyozidi 29 lakini haipo chini ya 25. Natafuta rafiki wa kiume mwenye Umri usiopungua miaka 30 but usizidi miaka 45. Awe anapenda kusocialize, asiwe anakariri kila kitu, awe pia anajua kubadilika kutokana na mazingira (coz hata mie nahisi nina sifa hizo)

Mwenye sifa hizo please unakaribishwa au hata kama unamfahamu mtu mwenye sifa hizo mwambie namtafuta kwa kweli.

Note:
Maisha ya upweke yamenishinda mie, natafuta wakubadilishana nae mawazo na pia nataka kumkabizi moyo wangu.

Karibuni

Rafiki wa kalamu
Aya Angalizo!!
Ukimkabidhi Moyo wako wewe utabaki na nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom