Recent content by Kumalija

  1. K

    Hivi wasambaa wana sifa gani??

    zei humwaaaaa ngosi
  2. K

    Sovereignty & Statehood of Zanzibar in the Union: Critical Comments on S.M.Z .v. Machano & 17 Others

    ukisoma ile case ya Machano ambapo professor Shivji alikiwa kama amicus querie,mwenyewe alisema kabisa ndani ya jamhuri ya muungano hatuna nchi inayoitwa Zanzibar,wala hakuna uhain unaoweza tendeka juu yake maana gains Jeshi.
  3. K

    Ibara ya 35 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ile mihimili ya mitatu unaifahamu?
  4. K

    Taarifa kwa umma kuhusiana na upotoshaji wa elimu mshindi wa miss Tanzania

    Ku Kumbe siku hizi stashahada Ni cheti eeeeee,hongera uliyetoa taarifa
  5. K

    Kuna maisha baada ya mahusiano bwana

    hahahaha!!!nawapenda wanawake kwa sababu mama yangu Ni mwanamke na mtoto wangu Ni mwanamke na mke wangu Ni mwanamke
  6. K

    Nimeachana na mpenzi mara baada ya kuanza chuo

    Hahahaha!!!!umenichekesha saana na kunitafakalisha umemanisha nini??
  7. K

    Tetesi: Kisandu ni kweli kajiengua Kanisa Katoliki

    kanisa Lina waunimi wengi mnoooooo,aende tu
  8. K

    Neno lolote toka kwa mpenzio ambalo liliutikisa moyo wako

    Naolewa wiki ijayo!!!!nililia alivyosema vle
  9. K

    Ukimpata mpenzi kama huyu utaishi maisha ya raha sana aisee

    Aiseeee,watu mnafundishwa duty of care ILA kuelewa hamtaki!!!mpewe taaluma ipi sasa
  10. K

    Usilolijua kuhusu mkoa wa Shinyanga

    Ni mkoa ambao upo nafasi ya nne kuchangia pato la Taifashy town
  11. K

    Neno lolote kwa ex wako

    Aisee umanigusa maana kuanzia tar 21 mwezi huu anaolewa!!!!
  12. K

    Nafurahia mapenzi nikiwa na binamu yangu kuliko mume wangu

    Mwanasheria usitutanie,unaijua vizuri LMA na Penal Code,weee endelea tu amani ya moyo wako itimie lakini tahadhari iwepo
  13. K

    Waziri wa TAMISEMI, George Simbachawene, aagiza mkuu wa shule ya Mbeya Day ashushwe cheo

    K Kuna kitu kwenye administrative law kinaitwa Natural justice,Kuna kipengele cha hear each side,na PIA kwenye katiba ibara ya 13 (6)b kinazuia mtu kuhesabika Ana hatia kabla mahakama haijamwona Ana hatia,wakipata wakili mzuri hawana hatia hawa jamaa japo wamenikera
  14. K

    Usijidanganye, huwezi kumpa upendo mtoto asiye wako sawasawa na mtoto wako

    Kama broo Wako angesema Hana upendo juu yako angekusomesha?achana na roho mbaya
Back
Top Bottom