Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,287
- 72,512
Nenda katubu kwa kushirikiana nae kutoa mimba iso na hatia
Duu....inauma Ila kumbuka katika mapenzi ukitendwa ndio unajifunza....hamna alojifunza bila kutendwa kwanza....hayo yataisha tuu but it need a time, Ila ujue unaweza kumsahau mapema tuu.....kwanza mawazo juu yake yakikujia jaribu kuanalyze Yote alokufanyia, na historia ya kutembea na ndugu na waume za watu na anavyochukulia huruma yako for granted. If you can't change something, change the way u think about it. Kama ulikuwa ukifikiri yeye ndio atakua mkeo bac sasa mchukulie kama alikua kahaba flani hivi ..na mwisho wa cku yeye anataka muwe marafiki, usimpe hata hiyo nafasi....mfanye kama MTU ambae hukuwahi kumjua....mpotezee totally usilie-lie...gangamaaa....cha msingi kama unalipwa hela nying Fanya maendeleo yako na familia yako, am sure pesa huwa hazijai....coz zingekua zinajaa Bill gate angeshaacha kuzitafuta already.....Mwisho nikuombe Fanya kazi kwa ufanisi tena usije ukamzidishia MTU dawa coz ya one stupid person. Kuna maisha baada ya Kutendwa.Naunga MD kaka, krb CUHAS, ila kumbuka mapenzi hayo hayo yalimfanya Adamu atende dhambi. Mapenzi hayo hayo yalimfanya Samson adanganywe na Delilah, kuwa na professional haimaanishi ndo kuwa gwiji wa mapenzi, kuna maprofessor wanateswa na mapenzi. Yakiwa hayajakukuta waweza Dhani aliyefny ni fala.. Na co nalipwa laki 5 za serikali, mimi nipo private Kaka, na mshahara co laki 5 bro, kuomba ushauri haimaanishi utoe lugha chafu, Co yko ya muda mrefu co inshu maana ht ww ungetkiwa ushaenda MD.
Nashukuru sana kaka kwa sasa nimejua nini maana ya mapenzi. Najua nilijidanganya napendwa ila nmemwambia sihitaji urafiki nae, najua nimemkosea Mungu kwa dhambi zote nilizotenda 7bu ya kung'ang'ania penzi la mpumbavu. Nakiri nimeteleza ila nna imani sijaanguka maadamu tumekutana ukubwani, NGOJA IBAKI STORY,Duu....inauma Ila kumbuka katika mapenzi ukitendwa ndio unajifunza....hamna alojifunza bila kutendwa kwanza....hayo yataisha tuu but it need a time, Ila ujue unaweza kumsahau mapema tuu.....kwanza mawazo juu yake yakikujia jaribu kuanalyze Yote alokufanyia, na historia ya kutembea na ndugu na waume za watu na anavyochukulia huruma yako for granted. If you can't change something, change the way u think about it. Kama ulikuwa ukifikiri yeye ndio atakua mkeo bac sasa mchukulie kahaba flani hivi coz as has my a hivyo ...na mwisho wa cku yeye anataka muwe marafiki tuu usimpe hata hiyo nafasi....mfanye kama MTU ambae hukuwahi kumjua....mpotezee totally usilie-lie...gangamaaa....cha msingi kama unalipwa hela nying Fanya maendeleo yako na familia yako, am sure pesa huwa hazijai....coz zingekua zinajaa Bill gate angeshaacha kuzitafuta already.....Mwisho nikuombe Fanya kazi kwa ufanisi tena usije ukamzidishia MTU dawa coz ya one stupid person. Kuna maisha baada ya Kutendwa.
Natumaini humu nyote ni wazima, nachukua fursa hii kuwaomba Ushauri. Nilikuwa na mpenzi wangu tuliobahatika kudumu kwenye mapenzi kwa miezi 10. Miezi minne baada ya kuanza uhusiano, nilipokuwa field Dodoma, nilitengana nae kwa muda wa wiki 3, nakumbuka cku ananiaga alilia sana nkadhani mtu mzima napendwa.
Nilivyoondoka kwenda field tuliagana kwa kufanya sex kwa condom maana mwenzangu alikuwa Siku za hatari. Baada ya kupita wiki mbili mwenzangu alianza lalamika anahisi dalili za ujauzito, zkafka wiki 3 na sehemu akaanza nambia cku zake hazioni. Nkajaribu kumwambia awe muwazi kwangu kipi alichofanya, mwisho akakiri alinicheat cku 3 kabla cjafanya nae sex bila kondomu gesti. Alinilalamikia sana maana ndo alikuwa kamaliza form four mwk jana, na Mwaka huu akataka aanze chuo.
Kweli nilishirikiana nae, tukatoa mimba. Nimempigania kupata chuo kwa gharama zangu chuo ameenda na ana Siku 8 tu chuo. Ila leo kanipigia simu kuwa ametoka kipindi cha dini na ameokoka hvyo hanitaki. Nmeumia sana. Maana ni mkatoliki na hkn kuokoka kwetu, kanambia nisimfuatilie, HANIPENDI, HANITAKI NA HANIHITAJI. NAHISI KUCHANGANYIKIWA.. NILIMSAMEHE ALIVYOPATA MIMBA TUKATOA MAANA ALINILILIA NA AKANIOMBA MSAMAHA
Una akili wewMkuu
slatcher ninadhani hii elimu yako haijakusaidia kuelewa ulimwengu, piga magoti na umshukuru Mungu kwa kukuepusha na balaa hilo. Mtu ambae amekutana kimwili na mwanaume siku tatu kabla ya kukutana na wewe tena bila kinga huoni kuwa alikuwa anahatarisha maisha yako?
Labda nikwambie kitu, mimba alipata kwa mtu mwingine, nkamwambia mm na yy basi akadai nimsamehe ni kwa bht mby kwn mtu aliyempa hampendi na hawezi Lea mimba yake. Jamaa alivyotaftwa akadai asihusishwe kwn haamini km mimba ni yk kwn anajua Huyo binti ana wanaume wengi. Mimi nimesomea utabibu (diploma ya udaktari) nilimweleza madhara ya mimba asitoe aling'ang'ania atafny anavyojua. Chuo kizima walijua ni demu wng na ht mama yk alikuwa anajua ni mpnz wng.. Nkajrb kumuassess km ana uzoefu wa kutoa mimba. Nikagundua anajua, kutafta story kwa aliyemjaza mimba akanambia kpnd cha nyuma kbla cjawa nae, walikuwa marafk wa kawaida na walikuwa wakishauriana kwa mambo mengi. Na anadai kpnd binti yupo form 2 alimuomba ushauri kuhusu ujauzto alioupata, alimshauri asitoe ila binti kwa kushirikiana na aliyemjaza wakatoa maana alikuwa bado form 2.kilipta km miaka 2-3 tangu atoe mimba ya mwanzo. Nkamuuliza jinsi ya kutoa akaanza nambia keshanunua misoprostol, hivyo basi atatumia vidonge 6. Kbla ya kuondoka kwa kujua binti hashauriki na dozi ya vidonge 6 ni kubwa, kwa kutumia elimu yng ikabd nimshauri apunguze coz asije vuja damu akafa mwsho wa cku nkakamatwa mimi, hvyo sikuhusika kwa njia ya moja kwa moja. Baada ya kutumia njia niliyompa kupunguza dozi mimba ilitoka nkamshauri atumie Antibiotics kuzuia complications za Abortion, kweli afya ikarejea. Maisha yakaendelea. Kilichonifny nimsaidie ni wanachuo wenzangu kujua demu wng na Mama ake pia ananijua. Hvyo kwa shida yyt ambyo angeipt ningekamatwa Mimi...
Miezi kumi bhanaMmedumu kwenye mahusiano miako kumi,,,kamaliza form 4 mwaka Jana,,,
Sijui alikuwa na umri gani kipindi unamahusiano naye?
Au alikuwa MEMKWA?
Hufai kuwepo kwenye jamiii,,,Ulifanya uharibifu we we,,,,Kuwa makini siku nyingine.
Acha ujinga... Je angepata ukimwi nao mngetoa??...
Hahahaha!!!!umenichekesha saana na kunitafakalisha umemanisha nini??Kondoo wawili kwenye zizi moja
Kweli kabisa,mama wa kwanza,alaf unajipenda MWe nyewe,alaf ndo unampa option mpenzi.tofauti na hapo utasumbuka sana!Hivi wewe jamaa huna ndugu wenye shida kweli... Watu kama nyie mnakuaga wafumu sana kusaidia ndugu zenu... Tena tusiende mbali we Mama yako hana shida... Matukio mengine huja kama laana... Siri ya mapenzi mjali Mama yako kwanza we mwenyewe utaniambia utajikuta huteseki kwenye Mapenzi kihivyo... Utapendwa zaidi, vilevile kukimbilia kutoa mimba itakua ni sababu ya kukuacha pia.