Ukimpata mpenzi kama huyu utaishi maisha ya raha sana aisee

1. Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo bafuni"(mwanamke adimu sana)

2. Unajiandaa kwenda kazini unakuta, nguo zishapigwa pasi

3. Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi acha tu raha xanaaa!

4. Umejipunzisha kwenye kochi au Au kitandani mara kakukalia Mgongoni anakufanyia masaji Mgongoni, unaishia kusema "thanks baby".

5. Kila anachotaka kufanya kujiendeleza anakuambia.

6. Anapenda ndugu zako.

7. Anakupa moyo kwenye wakati mgumu (anakwambia baby hayo ni maisha tu,usijali utafanikiwa tu)

8. Anajua unataka nn na kwa wakati gani.

9. Hana tabia ya uchoyo na umbea

10. Anakukumbusha usome Neno la Mungu

Hayo yote uliyoyataja ni mazuri sana lakini umesahau kitu kimoja; kinachowaunganisha watu katika ndoa ni upendo. Bila ya upendo hakuna ndoa. Hayo yote yote uliyo yaandika mtu yoyote anaweza kukufanyia hata house girl.
 
1. Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo bafuni"(mwanamke adimu sana)

2. Unajiandaa kwenda kazini unakuta, nguo zishapigwa pasi

3. Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi acha tu raha xanaaa!

4. Umejipunzisha kwenye kochi au Au kitandani mara kakukalia Mgongoni anakufanyia masaji Mgongoni, unaishia kusema "thanks baby".

5. Kila anachotaka kufanya kujiendeleza anakuambia.

6. Anapenda ndugu zako.

7. Anakupa moyo kwenye wakati mgumu (anakwambia baby hayo ni maisha tu,usijali utafanikiwa tu)

8. Anajua unataka nn na kwa wakati gani.

9. Hana tabia ya uchoyo na umbea

10. Anakukumbusha usome Neno la Mungu
Kumi kwa mmoja
Weng waliojaa n dizain ya miss chaga
 
hyo namba moja itoe maana nina imani una mikono ya kubeba ndoo ya maji kama huwezi weka bomba ndani! hyo utaipata endapo wewe ni mlemavu
hizo zingine za kawaida kabisa
Aiseeee,watu mnafundishwa duty of care ILA kuelewa hamtaki!!!mpewe taaluma ipi sasa
 
1. Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo bafuni"(mwanamke adimu sana)

2. Unajiandaa kwenda kazini unakuta, nguo zishapigwa pasi

3. Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi acha tu raha xanaaa!

4. Umejipunzisha kwenye kochi au Au kitandani mara kakukalia Mgongoni anakufanyia masaji Mgongoni, unaishia kusema "thanks baby".

5. Kila anachotaka kufanya kujiendeleza anakuambia.

6. Anapenda ndugu zako.

7. Anakupa moyo kwenye wakati mgumu (anakwambia baby hayo ni maisha tu,usijali utafanikiwa tu)

8. Anajua unataka nn na kwa wakati gani.

9. Hana tabia ya uchoyo na umbea

10. Anakukumbusha usome Neno la Mungu
1) na wewe huwa unawahi kuamka kumuwekea baby wako maji?

2)Yeye hajiandai kwenda kazini?

3)Kama wewe ndo unarudi kabla yake kutoka kazini, huwa unampokea na kumvua viatu akirudi?

4)Every one loves a good massage

5)Wewe mipango yako unamuambiaga mwenzako?

6)Kama ndugu zako sio watu wa hovyo kwanini asiwapende?

7)Hivi tunangelea mama wa nyumbani kumbe?? manake point zinajirudia zinazoashiria u housewife

8)KOSA KUBWA SANA kutegemea mtu atambue unawaza Nini. jifunze kusema unachotaka.

9)Tabia za hovyo hizi

10)Well if you're believers
 
1. Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo bafuni"(mwanamke adimu sana)

2. Unajiandaa kwenda kazini unakuta, nguo zishapigwa pasi

3. Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi acha tu raha xanaaa!

4. Umejipunzisha kwenye kochi au Au kitandani mara kakukalia Mgongoni anakufanyia masaji Mgongoni, unaishia kusema "thanks baby".

5. Kila anachotaka kufanya kujiendeleza anakuambia.

6. Anapenda ndugu zako.

7. Anakupa moyo kwenye wakati mgumu (anakwambia baby hayo ni maisha tu,usijali utafanikiwa tu)

8. Anajua unataka nn na kwa wakati gani.

9. Hana tabia ya uchoyo na umbea

10. Anakukumbusha usome Neno la Mungu

Na wewe una sifa zipi???? Au kazi kukagua tuu checklist kuwa huyo mwezi wako ana sifa zipi??? Sometimes we expect too much.... Na hiyo ni chanzo kikubwa sana cha disappointment...!!!
 
1. Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo bafuni"(mwanamke adimu sana)

2. Unajiandaa kwenda kazini unakuta, nguo zishapigwa pasi

3. Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi acha tu raha xanaaa!

4. Umejipunzisha kwenye kochi au Au kitandani mara kakukalia Mgongoni anakufanyia masaji Mgongoni, unaishia kusema "thanks baby".

5. Kila anachotaka kufanya kujiendeleza anakuambia.

6. Anapenda ndugu zako.

7. Anakupa moyo kwenye wakati mgumu (anakwambia baby hayo ni maisha tu,usijali utafanikiwa tu)

8. Anajua unataka nn na kwa wakati gani.

9. Hana tabia ya uchoyo na umbea

10. Anakukumbusha usome Neno la Mungu
Huo lazima utakua mchepuko!!
 
Mwanamke adimu sn huyo kumpata kwa kizazi hiki, labda wa kukusachi mfukoni umerudi na sh ngapi ndyo wko wengi......
 
Natamani ningeona nawe list yako ya utakayomfanyia......endelea kusugua goti na Bwana atakuletea wa stahiki yako. Amen.
 
1. Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo bafuni"(mwanamke adimu sana)

2. Unajiandaa kwenda kazini unakuta, nguo zishapigwa pasi

3. Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi acha tu raha xanaaa!

4. Umejipunzisha kwenye kochi au Au kitandani mara kakukalia Mgongoni anakufanyia masaji Mgongoni, unaishia kusema "thanks baby".

5. Kila anachotaka kufanya kujiendeleza anakuambia.

6. Anapenda ndugu zako.

7. Anakupa moyo kwenye wakati mgumu (anakwambia baby hayo ni maisha tu,usijali utafanikiwa tu)

8. Anajua unataka nn na kwa wakati gani.

9. Hana tabia ya uchoyo na umbea

10. Anakukumbusha usome Neno la Mungu
Uchafu mtupu Tu huu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom