Recent content by kulumba

  1. kulumba

    Ni lazima kutuma pesa ukweni?

    Kupanga ni kuchagua ktk vigezo ambavyo ilikuwa razima awe navyo mwanamke kabla ya kuoa ni uwezo wa familia yake sikutaka kabsa kuoa familia tegemez na ninashukuru mnoo tangu nimeoa sjawh ombwa hata mia zaid huwa natuma vizwad tu.
  2. kulumba

    Eti wanaume huwa mnafikiria nini?

    Hakuna hata kidogo na when im at home namwambia asunitafute hata kidogo hadi nitakavomtafuta mm uzuri ni kuwa nahudumia vzr sana ila kitu ambacho stokuja kukifanya ni kumkaribisha home au kumwambia madhaifu ya wife though wanawake wanapenda sana kusema wkness za watu wao
  3. kulumba

    Eti wanaume huwa mnafikiria nini?

    Mi siku hizi kabla sijamtongoza mwanamke namwambia kabsa nina familia so mara nyingi nawapata kwa sababu wengi wanataka ukweli
  4. kulumba

    Nataka kujua juu ya matumizi ya mbolea ya mavi ya popo

    Wakuu mimi pia nina gunia tatu za mavi a popo nataka kutumia kama mbolea kwenye kilimo cha mboga mboga nipeni matumizi yake wapendwa
  5. kulumba

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    [emoji1314]Manchester United vs Southampton - HesGoal.COM Sports News [emoji1314]Bein Match : مشاهدة البث المباشر لمباراة فريق مانشستر يونايتد بمواجهة فريق ساوثهامتون برسم الدوري الإنجليزي الممتاز
  6. kulumba

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    [emoji1314]Aston Villa vs Manchester United - HesGoal.COM Sports News [emoji1314]Bein Match : مشاهدة البث المباشر لمباراة فريق أستون فيلا بمواجهة فريق مانشستر يونايتد برسم الدوري الإنجليزي الممتاز
  7. kulumba

    Hakuna experience ya huzuni kuu kama ya kufiwa na mke/life partner

    Aisee kwanza namshukuru Mungu alisimama upande wangu japo nililazimika kutafuta specialist ila daa sitaki tena kusikia mimba watoto wawili wanatosha kabsa japo ñina 32yrs lakin yatoshaa Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  8. kulumba

    Hakuna experience ya huzuni kuu kama ya kufiwa na mke/life partner

    Yuko vzr na anafanya kazi zote had Dr anashangaa
  9. kulumba

    Hakuna experience ya huzuni kuu kama ya kufiwa na mke/life partner

    Nimefiwa pia wazazi ila juzi kati hapa tarehe 22 mwezi wa 4 wife alikuwa mjamzito na baada ya vipimo niaambiwa anatakiwa afanyiwe operation na kwa hali aliyokuwa nayo kulikuw na asilimia chache sana za wote kupona especially wife daa nikapagawa sa mbili usiku nikambiwa tumepata mtoto wa kiume...
  10. kulumba

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Norwich City vs Manchester United - HesGoal.COM Sports News
  11. kulumba

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Bein Match : مشاهدة البث المباشر لمباراة فريق نوريتش سيتي بمواجهة فريق مانشستر يونايتد برسم كأس الإتحاد الإنجليزي
  12. kulumba

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Jaman hii gem dstv wanaonyesha chanel gani
  13. kulumba

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Bein Match : مشاهدة البث المباشر لمباراة فريق تشيلسي بمواجهة فريق مانشستر سيتي برسم الدوري الإنجليزي الممتاز
Back
Top Bottom