Recent content by kuku mgeni

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mwijage: Kazi yangu ni 'kupiga sound' wawekezaji waje, sio kujenga viwanda

    mwenye haambiwi tazama
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli muondoe RC Mrisho Gambo Arusha kuijengea heshima serikali yako

    Anafanya vizuri kazi aliyotumwa, atamuondoaje?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu: Mikopo tumetoa kwa vigezo. Wanafunzi wengine hutumia mikopo kununulia Tv na pombe

    Hii ina maana tuna wanafunzi walevi hahahahahahahaha ZE KITWANGAZ TYPE
  4. K

    JamiiForums Tanzania Offer kwa wanachuo watarajiwa na watu wote..

    weka namba unayotumia whatsapp na ofisi ilipo nikupe mteja.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Pale maji yanapofika shingoni kauli mbiu ya 'tunahakiki' ndio ngao

    sasa tunahakiki wana CCM hewa, endeleeni kuwa wavumilivu neema yaja.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    CHIZI KATOA WAZO
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nape: Wema ametupa heshima kubwa, tutamuweka kwenye rekodi zetu

    utaona ya Nape
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nape: Wema ametupa heshima kubwa, tutamuweka kwenye rekodi zetu

    hivi ameshindwa hata kumtuma mtu yoyote kutoka wizarani kwenda kumuwakilisha yy akahudhuria bungeni? bora nchi hii Magufuli abaki na wazir mkuu na katibu mkuu kiongozi basi.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ni uongo upi mkubwa zaidi umewahi kuambiwa?

    Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zambia.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais JPM, Waziri Mkuu Majaliwa nae ni JIPU, mtumbue

    Jakutana na mkono wa kikwete, hakuna anaepumua kwny huo mradi.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hii cartoon noma, imefikisha ujumbe rasmi

    Bora anpige ya sumu tu ili amalize tatizo.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Uvujishaji siri za Serikali: Profesa Muhongo mtegoni

    Magafuli kampa mchawi mwana amleleee.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Bodaboda mpo?

    hahahaha
  14. K

    JamiiForums Tanzania Naomba niwachekeshe

    hahahahaha na ww ni jipu, subiri kutumbuliwa.
  15. K

    JamiiForums Tanzania TBC 1 warusha harusi LIVE. Waziri Nape acharuka, awataka watoe maelezo ya kina

    Huenda ni mkakti wa Mhe. kuongeza mapato ya serikali. Inabidi watutangazie kabisa hata engagement, birthday na vipaimara tuwalipe warushe live.
Back
Top Bottom