nyamchele JF-Expert Member May 28, 2014 1,325 1,033 Feb 13, 2016 #1 Huu mziki ungechezwa kwa bodaboda hapa sijui ingejuwaje......
Smokey D JF-Expert Member Jan 30, 2013 2,631 2,101 Feb 14, 2016 #3 Ningekuwa ni mimi yani mtu mzima na ndevu zangu unanichapa kama niko secondary yani pangechimbika ningeondoka na sikio la mtu na meno
Ningekuwa ni mimi yani mtu mzima na ndevu zangu unanichapa kama niko secondary yani pangechimbika ningeondoka na sikio la mtu na meno