Nkuba25
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,341
- 13,021
Mtakumbuka kwamba PM alisimama mbele ya kamera na kutoa maagizo kuwa mabasi yaendayo kasi yawe yameanza kazi ifikapo January 10.
Leo ni February na siku zinayoyoma pasipo kuwepo taarifa yoyote rasmi iwe kupitia kwenye luninga (kama kawaida yao) au hata agizo la barua.
PM amekuwa kimyaaa kama vile amemwagiwa maji. Huku akiendelea kushuhudia wakazi wa Dar es Salaam wakiendelea kutaabika na kero hii ya usafiri.
Je, Rais Magufuli huoni kuwa huyu nae ni JIPU? Kama wakuu wengine wa serikali wamesimamishwa au kufukuzwa kazi kwa kushindwa kuwasimamia walio chini yao. Kwa nini na huyu PM nae asisimamishwe au kufukuzwa. Vinginevyo inakuwa ni "double standards"