Offer kwa wanachuo watarajiwa na watu wote..

Offer kwa wanachuo watarajiwa na watu wote..

Corei7 16ram 1 terabyte graphics memory 6000....1.5m.
Touchscreen
 

Attachments

  • 1475516704933.jpg
    1475516704933.jpg
    54.8 KB · Views: 50
  • 1475516749569.jpg
    1475516749569.jpg
    39.1 KB · Views: 44
  • 1475516780143.jpg
    1475516780143.jpg
    37.8 KB · Views: 48
  • 1475516799130.jpg
    1475516799130.jpg
    39.1 KB · Views: 51
utawapata wajinga unaongeza ramu kuwatega kware wako
ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi



Mimi siongezi Ram Mzee hivi ni vitu Genuine mkuu

Core i7 One terabyte installed Memory, Touch screen
 

Attachments

  • 1475606813396.jpg
    1475606813396.jpg
    58 KB · Views: 48
  • 1475606833453.jpg
    1475606833453.jpg
    30.2 KB · Views: 41
  • 1475606855980.jpg
    1475606855980.jpg
    65.9 KB · Views: 51
1.5 million.... for core i7 ya 16 GB ram with 1 terabyte hard disk, touchscreen
1.2 million for core i5 ya 12 GB ram with 1 terabyte hard disk, touchscreen
 
1.3 m ndio nafuu kwa wanachuo?hauko serious wewe,au labda umekosea sehemu ya kutuma nikukumbeshe tu hii ni jf ya Tanzania,kama umetuma kimakosa nimekusamehe au lah uondoe hilo neno wanachuo.
 
1.3 m ndio nafuu kwa wanachuo?hauko serious wewe,au labda umekosea sehemu ya kutuma nikukumbeshe tu hii ni jf ya Tanzania,kama umetuma kimakosa nimekusamehe au lah uondoe hilo neno wanachuo.

kwa Pc ya uwezo huu hii ni bei sawa na bure kabisa..
fanya research yako kwenye maduka ya Pc ulete mrejesho hapa
 
1.3 m ndio nafuu kwa wanachuo?hauko serious wewe,au labda umekosea sehemu ya kutuma nikukumbeshe tu hii ni jf ya Tanzania,kama umetuma kimakosa nimekusamehe au lah uondoe hilo neno wanachuo.
Kweli kk 1.3m ndio offer mm nilijua kitu kuanzia 300,000
 
Kwa wale wanafunzi wanaotarajia kujiunga na elimu ya juu..( chuo kikuu ) tunapenda kuwaletea offer kabambe ya Laptop computers zenye uwezo wa hali ya juu kama ikivyojieleza kwenye tangazo hapo...

Jipatie Core i5, Core i7 zenye Ram kuanzia 8Gb na kuendelea.

Utapata kwa bei ambayo hutajutia kutoa pesa yako.

Kwa wale watakaoenda kusoma
Architecture, Computer science, Computer engineering, Engineering in general, Building Economics, na kozi zote mnakaribishwa sana..

Kwa mawasiliano zaidi nicheki 0714-614115/ 0763-549175
Natafta Toshiba ram 2 hd 250 Proccessor.2.1nye us kama ipo call me 0621004002
 
1475649324010.jpg


Dell hiyo njoo nikuuzie, 500GB 4GB ram touch screen, 11.7 screen Imetumika miezi 10 tu, battery inakaa masaa 6, contact 0625979790
Bei Laki 7
 
sasa kaka millioni unaona ndogo kwa mwana chuo , Duh. Whats the importance of a touch screen laptop .. nipe bei ya core i5/core i7 iwe na ram 4GB/8GB na graphics card 4GB. sihitaji iwe touch screen
 
sasa kaka millioni unaona ndogo kwa mwana chuo , Duh. Whats the importance of a touch screen laptop .. nipe bei ya core i5/core i7 iwe na ram 4GB/8GB na graphics card 4GB. sihitaji iwe touch screen
Hitler gani hana hela !!
 
Back
Top Bottom