Recent content by KUGS

  1. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Maghembe asihusishwe na kashfa ya Faru John

    Wanadai eti alipeleka pembe la faru khadija badala ya faru john!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa screen ya LED Singsung TV 24

    Kuna fundi kanambia kimepatikana hv now nampelekea akabadilishe akifanikiwa nitaku inform, we uko wapi?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Startimes wanaonesha fainali za UEFA?

    Kwa wanaotumia ving'amuzi vya Azam itaonyeshwa through ZBC 2
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa screen ya LED Singsung TV 24

    Nina tv flat LED SINGSUNG imevunjika kioo, nimetafuta kioo kingine kwa huku Mbeya imeshindikana, kwa yeyote anayeweza kunisaidia hata kwa information napataje kioo hicho ili niweze ku replace tafadhali.
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume huwa na michepuko?

    Fuatilia takwimu, wanawake ni wengi kuliko wanaume so kila mwanaume akibaki na mmoja hawa wengine wataenda wapi? au ndo aliyeshiba hamjui mwenye njaa!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro, anafaa kuwa msemaji / mwanahabari wa UKAWA

    We mzima kweli?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha magazetini Radio Free Africa, hawapo serious

    Kiukweli wanaboa sana, nilijua ni mimi tu kumbe tuko wengi! RFA tambueni adha hii aaaagh! mnaboa sana.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Atumiwa Bomu Kwenye Bahasha

    Hapo lazima kuna kitu anakifahamu katika hili.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ndoto Hii Ya Kutisha,imekata Usingizi Wangu

    duh, suluhisho mtafute huyo xy uliyemuota myaweke sawa!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Radio maria- kikubwa kinasomwa kidogo kinaachwa

    Hivi unachangia ili utajwe, au unatoa kutokana na kuguswa na unachochangia? bd kidogo tutahoji wanafanyia nn! bt all n' all ahsante kwa wazo.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Majina ya kizungu yalivyoharibiwa na waswahili

    Making loss - makongolosi! chunya mby.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Msaada Tafadhali.

    Nianze kuwapa pole kwa jukumu kubwa la kutoa elimu na ushauri juu ya afya zetu, ahsanteni sana. Kwa muda mrefu nimeishi bila ukucha wa kidole kikubwa cha mguu wangu baada ya kuathiriwa kwa fangasi, kiasi cha kunikosesha raha ya kuvaa viatu vya wazi (open shoes)! Naomba kujua kama kuna...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Lema kafiwa na mama Mkwe wake

    Pole sana kwa kamanda Lema, mke wake na familia kwa ujumla.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Mlinitaka niwa PM namba kadhaa kwa tatizo ninaloripoti Mara kwa Mara but hakuna hatua iliyofuata baada ya hapo, hivi tatizo ni nini? tutafutieni ufumbuzi wa tatizo hili ni serious tatizo! au kama kuna njia nyingine ya kuripoti tatizo nijuzeni nifuate hatua hizo kuliko shida zinazoendelea! au...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa kufikishwa Mahakamani!

    Hata hivyo atakuwa amapamiss mahakamani maana ni muda sasa mlikuwa kimya, mmeanza tena, endeleeni kumpaisha atawafanya kazi.!
Back
Top Bottom