Msaada Tafadhali.

KUGS

Member
Mar 28, 2013
45
9
Nianze kuwapa pole kwa jukumu kubwa la kutoa elimu na ushauri juu ya afya zetu, ahsanteni sana.
Kwa muda mrefu nimeishi bila ukucha wa kidole kikubwa cha mguu wangu baada ya kuathiriwa kwa fangasi, kiasi cha kunikosesha raha ya kuvaa viatu vya wazi (open shoes)! Naomba kujua kama kuna uwezekano wa matibabu yake, au hata ushauri tu wakitaalamu nini nifanye kurejesha muonekano wangu. Na kama kuna mtaalamu yeyote wa tatizo langu humu ndani anijuze tafadhali kwa msaada zaidi.
Nawatakia kazi njema.
 
Back
Top Bottom