Jerry Muro, anafaa kuwa msemaji / mwanahabari wa UKAWA

Jerry Muro, anafaa kuwa msemaji / mwanahabari wa UKAWA

Umesahau mashabiki wengi wa Yanga ni CCM na UKAWA ni ant CCM sasa huoni hapo kuna mkanganyiko!

Sio kila mwana ccm ni yanga&viceversa,
Na sio kila mwana ccm ni ant ukawa kwani naweza kula ccm nikalala ukawa!
 
Jery muzo mnamjua? Ni fukunyuku yaani kazi yake kufukunyua, kama hauamini rudisha kidoooogo kumbukumbu kuhusu kesi yake, bastola sawa, pingu je!!!!
 
Allan acha utoto Mkuu kwani hujui kuwa yanga ni timu ya CCM jerry muro yanga ndio kafika
 
Back
Top Bottom