Recent content by kufikirika

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kambale wa kwenda kufuga au kula ukipenda hawa hapa

    Weka contacts zako mkuu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tanesko, Tanesko, Tanesko,Tanesko

    Kweli Chakii, hawa jamaa ni hopeless,inabidi tuangalie other altenatives
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tanesko, Tanesko, Tanesko,Tanesko

    Wakuu, ni kama mwezi mmoja sasa hivi SINZA hatupati umeme.Wanakata saa tatu asubuhi na kurudisha saa moja jioni.Wakati mwingine hukata hata saa moja usiku na kurudisha usiku wa manane kama saa nane hivi. Kweli tumechoka sasa na tunapata hasara sana majumbani na katika biashara zetu. Hebu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

    Wakuu, Je naweza tune station gani niweze pata bunge live sasa hivi.Najaribu kwa neema radio ipo ila inasikika kwa taabu mno.Hata kama ni through internet nayo ni poa.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ntapata wapi vifaa vya kutengenezea green house na tents za kupunguza ukali wa jua kwenye Bustani?

    Asanteni wakuu.Kweli nimeamini JF ni a complete business solution.Hukosi kitu hapa ndani.Ngoja nifuatilie sehemu mlizonishauri
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ntapata wapi vifaa vya kutengenezea green house na tents za kupunguza ukali wa jua kwenye Bustani?

    Habari za kazi wana janvi.Natanguliza shukrani na heshima kwenu wote. Nimekuwa nikitafuta mahali naweza pata vitu nilivyo taja uapo juu. Tafadhalini.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nyerere hakutaifisha seminari za Katoliki?

    Hivi hiyo misikiti mnayokwenda kuswali ndo pumba hizo mnazofundishwa? Jitahidini nyinyi na mashehe wenu pia mwende shule japo kwa kufanya hivyo mtaiokoa dini hii.Hebu twambie kama nyerere hakutaifisha shule za wakatoliki, je ni shule za akina nani alitaifisha?je ni za waislam? Nyinyi mnapenda...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Anakohoa hasa ikifika jioni,Masada ndugu

    Hakikisha anaweka kakipande cha Tangawizi iliyomenywa maganda mdomoni.asitafune bali awe anameza mate tu.Afanye hivyo ikikaribia ule muda kikohozi kinapo anza.Anaweza akalala nayo ikiwa mdomoni.Hiyo inasaidia sana
  9. K

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Hongera pacha.mimi pia ni 01 Jan
  10. K

    JamiiForums Tanzania Samadu Hassan Maduhu

    Star TV tunawaomba tuweze kuwaona tena kwenye EASY TV maana tumewamiss sana toka mjitoe kule.Kweli hamna mpinzani kwenye NEWS hapa TZ hasa kipindi cha Tuongee asubuhi.Pia ITV na EATV naona ni kama wiki moja sasa hamuonekani kwenye EASY TV.Please fanyeni kila liwezekanalo kurudi.Pia kuna baadhi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Walioangalia taarifa ya habari ya Star tv wameona ukweli wa hali ya Kigoma ilivyokuwa jana

    Bahati mbaya hamna like papa .Umenena
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kutema mate Bungeni

    Kumbe yule aliyechora katuni za kuonyenya katika bunge la TZ akina serukamba wanakojoa bungeni ,chupi zimeanikwa na watu wanakunywa pombe ni sawa kabisa
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kagame asitusha msiba wa Mandela

    Sio mbabe wa vita bali bwana wa vita
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ethiopian Airline Boeing 767 yatua Arusha kwa dharura

    Umenena vizuri.Alimsamehe ndio maana alimruhusu pia kutumia jina lake.Na pia ndo maana katika baadhi ya shughuli za kifamilia amewahi winie kuonekana.Kama kiongozi wa nchi kuna baadhi ya mambo hayapaswi hata kutajwa wala kusikika kwako achilia mbali kuyafanya.Yule mama alikuwa anatembea hata na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mapigano ya waislam msikiti wa Taqwa

    Ukiona ugonvi wao wenyewe kwa wenyewe ujue ufalme wao umefitinika.Hamuwezi kwenda safari moja kwa pamoja isipokuwa mmepatana
Back
Top Bottom