Hata Star wenyewe wanamkubali ndo maana karibu siku zote humtumia yeye!Anaitwa Samadu Hassan na siyo Samadu Hassan Maduhu. Maduhu alikuwa kama si mwandaaji basi mhariri wa vipindi RFA.
Umenena, hata mimi Samadu Hassan namkubali sana, nadhani kwa habari za kimataifa anashikilia usukani kwa tz kwa mujibu wa maoni yangu.
"Sasa twaelekea China......" Jamaa nouma sanaSamadu level nyingine wakuu Anga za makitaifa,anaanza hivi sasa ni washington dc jiji hilo lenye ukimya lisilo na pilikapilika nyingi',,,,,,,!!!!!....
"Sasa twaelekea China......" Jamaa nouma sana
Anaitwa Samadu Hassan na siyo Samadu Hassan Maduhu. Maduhu alikuwa kama si mwandaaji basi mhariri wa vipindi RFA.
Umenena, hata mimi Samadu Hassan namkubali sana, nadhani kwa habari za kimataifa anashikilia usukani kwa tz kwa mujibu wa maoni yangu.
Sir name yake ni maduhu
Sir name yake ni maduhu
Huyu jamaa kapotelea wapi?
jamaa yuko poa sana,ni mtangazaji wa kimataifa yule mzee,kati ya vichwa vinavyotangaza habari hapa bongo,yule ni nambari oneakifuatiwa na djaro warungu,oooh,no nimekosea sio djaro warungu,anafuatiwa na hemedi kivuyo.