Tulimlaumu bure Gaddo kwa katuni yake..Kuna siku Mwigulu Mchema atakunya kule bungeni na spika atamwangalia tu.
grrrrrrrr! Nasty!!! yaani ningemtwanga ngumi ya pua Inkoskaz
kunahaja ya wabunge kuingia na mwavuli bungenikukohoa tu kunampata jirani sembuse mvua ya mate