Walioangalia taarifa ya habari ya Star tv wameona ukweli wa hali ya Kigoma ilivyokuwa jana

CHADEMA ina damu ya Zitto na Zitto anadamu ya CHADEMA Zitto hawezi kutoka kirahisi na kuwaachia chama wahamiaji waliojiunga na chadema baada ya kukosa fursa CCM
Kwa hiyo? Kama yeye ni zaidi ya CDM na ana uhakika kaonewa, si atoke CDM? Pandikizi lenu limeshtukiwa ona mnavyohangaika.
 
Mbona hata chenge na Lowasa walipokelewa makwao? Hakuna jipya hapo.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
wana kigoma wameonekana kumsupport sana kiongozi wao, kuna dada kasema anamuona Zitto kama raisi na mama mwingine kasema yupo tayari kuhama na kumfuata Zitto popote atakapoenda, mzee mmoja kasema hakuna bendera ya Chadema kwa sababu hawaijui hatma ya Zitto ndani ya chadema, wengine waliohojiwa wamedai ukabila ndo chanzo kikuu cha uonevu kwa Zitto.
Wote waliohojiwa (watu watano, wanawake wawili na wanaume watano) walikuwa wananchi wa kawaida.
source: startv habari

sasa pro Mbowe & Dr. Slaa endeleen na propaganda zenu.

Kwa mawazo yako unadhani KIGOMA ndio Tz nzima? Unadhani akianzisha chama atapata wafuasi zaidi ya 500,000? Anao mtaji wa kuanzisha hii biashara (chama)? Mdanganye kama hajawa kama ADC, TLP, nk(Chama ni bendera tu, hamna harakati wala nn).
Tena akizidisha mbwembwe watoe unachama , tuchome nae mahindi huku kitaa aone mziki wake.
 
kamuulizeni Dr. mwaka 2010 Alipata kura ngapi Kigoma?! na alipata hizo kura bila ahadi ya gongo!
Leo nimeelewa sababu ya jk kupuuza kura za wafanyakazi 2010. hata watu wa kigoma ni wakuwapuuza pamoja na mpuuzi wao zitto.

kwa hiyo kwaajili ya zitto ni heri tuendelee kutawaliwa na maccm? Waha dhalili.
 
Hii ishu imewekwa kiasi sasa hii lobbying kupitia star tv inaweza ikaanza kugain momentum na kufanya tension kuwa kubwa zaidi ndani ya chama,ni bora akafukuzwa leo na si kesho
 
akuna kitu hapo, leo dr slaa kaongea wanaomshauri waangalie chakumshauri ana mamlaka kama anaona chama kinaenda sivyo kumvua uanachama wake, ngoja tuone baada ya ziara ya singida ikiisha lazima tutakuwa na zitto wa mahakama.
 
hey who is zitto and what is the matter...naona kigoma mara slaa...CDM naona wanawake 2+wanaume 5= watu 5 etc....please help
 
wana kigoma wameonekana kumsupport sana kiongozi wao, kuna dada kasema anamuona Zitto kama raisi na mama mwingine kasema yupo tayari kuhama na kumfuata Zitto popote atakapoenda, mzee mmoja kasema hakuna bendera ya Chadema kwa sababu hawaijui hatma ya Zitto ndani ya chadema, wengine waliohojiwa wamedai ukabila ndo chanzo kikuu cha uonevu kwa Zitto.
Wote waliohojiwa (watu watano, wanawake wawili na wanaume watano) walikuwa wananchi wa kawaida.
source: startv habari

sasa pro Mbowe & Dr. Slaa endeleen na propaganda zenu.

kwa kifupi wote waliojiwa walipangwa na kujieleza zero waanzishe chama chao ambacho kitakuwa hakina taratibu
 
sasa hv CHADEMA ina miaka zaidi 20, je unajua ina wanachama wangapi??!
Kwa mawazo yako unadhani KIGOMA ndio Tz nzima? Unadhani akianzisha chama atapata wafuasi zaidi ya 500,000? Anao mtaji wa kuanzisha hii biashara (chama)? Mdanganye kama hajawa kama ADC, TLP, nk(Chama ni bendera tu, hamna harakati wala nn).
Tena akizidisha mbwembwe watoe unachama , tuchome nae mahindi huku kitaa aone mziki wake.
 
Mbona mnahangaika sana juu ya Zitto! Kama yeye ni maarufu kuliko chama (CHADEMA) kwanini msimshawishi aende chama atakachokuwa huru kujifanyia atakacho? Mimi naamini umaarufu wa Zitto 'destination' yake ni CHADEMA TU na si kwingineko! Trust me!@pro- Zitto.
 
CHADEMA ina damu ya Zitto na Zitto anadamu ya CHADEMA Zitto hawezi kutoka kirahisi na kuwaachia chama wahamiaji waliojiunga na chadema baada ya kukosa fursa CCM

yaani tunamfukuza, damu ya usaliti...
watu wanazidi kuikubali chadema

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/573465-dk-slaa-igunga%3B-yanayofanyika-tanzania-ni-zaidi-ya-afrika-kusini-ya-makaburu-3.html
 
CHADEMA ina damu ya ZITTO na ZITTO ana damu ya HADEMA, mwanaume kamili huwa hapotezi damu yake.
Mbona mnahangaika sana juu ya Zitto! Kama yeye ni maarufu kuliko chama (CHADEMA) kwanini msimshawishi aende chama atakachokuwa huru kujifanyia atakacho? Mimi naamini umaarufu wa Zitto 'destination' yake ni CHADEMA TU na si kwingineko! Trust me!@pro- Zitto.
 
Mbona mnahangaika sana juu ya Zitto! Kama yeye ni maarufu kuliko chama (CHADEMA) kwanini msimshawishi aende chama atakachokuwa huru kujifanyia atakacho? Mimi naamini umaarufu wa Zitto 'destination' yake ni CHADEMA TU na si kwingineko! Trust me!@pro- Zitto.

waziri wa fedha marufu kuliko pesa yenyewe wapi ulioba hii...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom