Mapigano ya waislam msikiti wa Taqwa

Status
Not open for further replies.
Waislam hawataki upuuzi wa kiongozi,ukileta ujinga unachapwa bakora,siyo wale wasioweza kuhoji unabii na utume wa uongo

Ukiona ugonvi wao wenyewe kwa wenyewe ujue ufalme wao umefitinika.Hamuwezi kwenda safari moja kwa pamoja isipokuwa mmepatana
 
Umeishakunywa gongo la padri basi unaropoka tu hivi nyie Chadema Waislam waliwakosea nini.
Sijaona uhusiano wa alichokiandika jamaa na majibu yako... Majibu yako yamenipa maswali yafuatayo...
1. Ulielewa content ya taarifa ya jamaa..???
2. Padre amehusikaje kwenye maelezo ya jamaa..??
3. Ukristu umehusikaje kwenye maelezo yale..??
4. Chadema imehusikaje...???

Waiti foe unswers
 
Moderators mmethibitisha hii habari? Isije ikaleta matatizo maana lugha zinazotumika zimeenza kuwa sio za kistaarabu
 
hapo chanzo itakuwa sinia la ubwabwa, chezea waislam kwa ubwabwa wapo radhi hata wakutoe roho!.....

wapigwe tu! ( by mizengo)
 
Sijaona uhusiano wa alichokiandika jamaa na majibu yako... Majibu yako yamenipa maswali yafuatayo...
1. Ulielewa content ya taarifa ya jamaa..???
2. Padre amehusikaje kwenye maelezo ya jamaa..??
3. Ukristu umehusikaje kwenye maelezo yale..??
4. Chadema imehusikaje...???

Waiti foe unswers
Wewe kauzu kaa kimya huyo alioleta hii habari ni kiongozi wa Chadema Arusha uzuri wa JF tunafahamiana kwa ID zetu.
 
wasogezee bakoraaa...na mawe utapata thawabu

Leo babu alikuwa wapi na sera yetu ya gongo?

Hivi kwanini hizo sera zake za ajabu ajabu huwa hazianzii Arusha wanawatoa Kafara watu wa mikoa mingine..?

Ila Watanzania wameamka kwa sasa huwezi amini...!

Anachanganywa na yule Dadaangu mpaka anafikia kuropoka ropoka tu sasa,

Mmaaweee.......
 
kumezuka mapigano makali kwenye msikiti wa Taqwa hapa Bagamoyo waislam wanachapana bakora muda huu sababu haijajulikana..hali ni tete sana

"Ndio.. eeh.. ndio.. na mi nasema wapigwe tu.. maana tumechoka sasa.. kila siku ubwabwa ubwabwa.. wapigwe tu.. huwezi kung'ang'ania ubwabwa tukakuangalia tu.. nasema tena wapigwe, tena kwa mawe"

Hahahah!!

Just kidding jamani.. Amani ndio kila kitu!!
Kaeni msuluhishane!
 
Hahahaaaaaaa! Kuchinja kwetu ibada,kuhiji ibada,kujilipua ibada,kutokomeza dini nyingine kwa kuua ibada na KUTWANGANA SISI WENYEWE IBADA kwetu tuacheni jamani

kulumagia na kutafunana 0713.... ni sehemu ya ibada.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom