Mie sijafika hata huko ila kwa akili yangu tu ya kawaida na kwa uzoefu wa Mzee wangu sishangai Mtu kuja kumake life akiwa na miaka hata 50's
Hili si kwa TZ tu ila kwa Dunia nzima...then utajiri unaokuja miaka hiyo mara nyingi ni wa kudumu sio patapotea Sheikh 🤣
Hilo la Baba Level kusema ni "Nyie TRA huwa mnatudharau Wabunge"
ishanifanya nigundue kuwa kuna namna TRA wanawachukulia Wabunge na inawezekana wapo sahihi Kabisa, na hapo huyo jamaa wa TRA yeye amesimamia miiko ya kazi yake ya kujali Privacy ya Mwenye gari
Bora Ommy Dimpoz ndiye angekuwa...
Walimu wengi wakati watoto wanapelekwa baadhi ya shule zina waalimu wanne na watoto zaidi ya 500, shule zingine waalimu wa sayansi hakuna kabisa....na hawaajiriwi sheikh, wanachukua Form 6 leavers
Inategemea na location, kama ingekuwa nchi kavu huyo snake angekipata...ila kama ni nyoka wa kwenye maji basi atamuua HB kirahisi tu kwsbb Honey barger si aquatic animal so hata kupumua ni tatizo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.