mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,351
- 75,594
Itakuwa chafu subiri itoke blu ray novemba.Hapana... Nimeenda kuna mwana kariakoo anazoo
Itakuwa chafu subiri itoke blu ray novemba.Hapana... Nimeenda kuna mwana kariakoo anazoo
Tumpe mda😂Mkuu na wewe umeshangaa mtoto wa kiumekujisifia anapenda kuwa center of attention?🤣🤣🤣
Nimelia sanaHahaha wewe ndo unajua leo?
Uta Tupia mrejesho sisi wa NovemberMkuu bakini kwenye mada bwana
Hii movie inamoto balaa ila sijawah itazama naiskia sikia tu itabidi niicheki aiseeMm najiandaa kuwatch 28 Years later
Kwani HD yake ishatolewa tayari?Hapana mkuu nitaicheki kwa runinga
shule shule shule, tujitahidi kuwapeleka watoto wetu shule angalau wapate elimu wasiwe kama sisi wazazi, subtitles nazo hukuzielewa?hii spiderman sijaelewa elewa ilivyo isha... Naona tu maandishi yanapanda juu😅
If memory serves me correctly ... Wehu wote wenye wazimu kama huu, Mwendo hawakuumaliza salama humu...ninapenda sana kuwa the center of attention..
Ni HorrorGood for you bro, hata siijui kabisa