ohoo basi we furahia, huku mimi bado naisubiri kwa hamu sana piaBado... Ila kuna ile iliyo rekodiwa vizuri na iko na quality kali sana
Kwanza kabisa nitoe pole kwa kulifanya hili jukwaa lote linitazame mimi pekee kwa siku za hivi karibuni... Binafsi Itabidi mnizoee tu ninapenda sana kuwa the center of attention..
Narudi katika mode ya kawaida sasa baada ya kui feed ego yangu.
Leo Nitakuwa ni kiangalia movie ya spiderman brand new day.
View attachment 3649809
Nimekuwa nikiifatilia series yake toka ile ya kwanza kabisa... Ya mwaka 2000.
Kwa hakika ni movie nzuri sana kama mfuatiliaji..
Kinacho niweka sana kwenye hii movie ni ile bond ya Peter Parker na Marry jane
View attachment 3649810
Na last time illishia pale Parker alipo fanya time-lapse akarudisha mind za watu wote wa sahau asijulikane including MJ... Na ilimuumiza sana.
Sasa sijui Ilikuaje kwenye hili toleo...
Am so excited to watch this tonight..
Je, unapenda hii movie? Msije mkanipa uhondo wote.. I wanna experience this piece of art..
Mbn zinaeleweka? Overview ni kuwa kuja Baba anampeleka Mwanae mdg kumfundisha kuwinda kwa kutumia upinde far away kwny kijiji chenye watu na makaburi ya ndugu zao waliouawa miaka mingi iliyopita....then wanafika kwenye kijiji cha mizimu na Vampires walio hai, so inabidi kuwaua kwa mishaleHorro huwa sizipendi sana... Maana hata story line zake huwa hazieleweki...
Hiyo ikoje mkuu?
Ni kisha Sikia mizimu nakacha kabisaMbn zinaeleweka? Overview ni kuwa kuja Baba anampeleka Mwanae mdg kumfundisha kuwinda kwa kutumia upinde far away kwny kijiji chenye watu na makaburi ya ndugu zao waliouawa miaka mingi iliyopita....then wanafika kwenye kijiji cha mizimu na Vampires walio hai, so inabidi kuwaua kwa mishale
Ila bro huyu si Ndugu yako.Senta of atenisheni👇
View attachment 3649831
Mimi na admire Horror sanaNi kisha Sikia mizimu nakacha kabisa
Nimeonyesha centa of atenishen kwa mfano , ni ndugu yangu ndio bwasheeIla bro huyu si Ndugu yako.
Kwanini Umemuonyesha Donati na Kidole 😊😊😊😊.
Na sisi sio magreti sinka hatujui hata una maanisha nini.
Ameoa kwani Hadi aangalie hiyo au ndo kumpiga mwamnyeto tu😀😀Ukimaliza hiyo jibless na spartacus
Lazima uogope mizimu .Ni kisha Sikia mizimu nakacha kabisa
Nina uhuru wa kuwaza aseeWe jamaa unataka kulala vibaya leo? 😂
Nimeonyesha centa of atenishen kwa mfano , ni ndugu yangu ndio bwashee
..Waaazi..Hii Consistency uliyonayo humu hamishia kwenye hustling zako 🫂Basi hayo ni mawazo yako... Unauhuru pia wa kuwaza namna yako.