Habari ndugu zangu wana jamii forum.
Mimi ni mwanamke, mwenye degree ya sayansi ya jamii, nilikuwa naomba kama kuna member yeyote yule amesikia kuna kazi sehemu yeyote ile au kuna nafasi ofsini kwake, nina nina weza kufanya kazi yoyote ile nikipata mafunzo kwa mda mfupi tu na sichagui mkoa wala...