Tatizo wabongo mnashobo sana ndo maana wanawakamua maana premium kwa south africa ni R699 x 160 = 112,000tsh sasa huku wamezidisha mara mbili ya bei watu wanakomaa tu hahaha...
Dear DStv subscriber, due to currency depreciation, please be advised that from 1 October 2015 the subscription for DStv Bomba will be TZS 23 500 per month.
Mi ndo nshawaaga jana walichopokea toka kwangu ndo cha mwisho. Sifanyii kazi kulipa cable mimi. Huduma kwa wateja zenyewe ni kichefuchefu. Wamenifika kooni. Mnisaidie tu nifahamu kuhusu Azam na mie nihamie huko.This is too much. Hawa tatizo lao wanadhani kwamba kila nchi ni sawa na South Africa au Nigeria.
Guys hawa jamaa wananunua leseni kwa dolla..na sie twaona kila siku dola ikipanda..let's argue with facts and reasonings..kama kweli vifurushi vimepanda,they are right guys..