Valentine Story! Guess Who Is Getting Married? Marriage games

Valentine Story! Guess Who Is Getting Married? Marriage games

Huyu MBA Is Got To Be My Mentor.
He Is A Lawyer,As I Will Be.
His Dick Game Looks Second To None.
I Wanna Be The Kinda Guy Who Makes Women Wet Just At The Thought Of Me.
Lara Link Me Up With This Older Version Of Me.
 
Hope. It is the only thing stronger than fear. A little hope is effective. A lot of hope is dangerous. A spark is fine, as long as it's contained.

Baada ya ile simu ya mke wa mtu, akaanza kuminyia MBA, ile anampotezea kiutu uzimaaaa, huku anaongeza nguvu kwa nerd. Huku mume wa mtu analalamika, hapewi mambo, anabembelezaaa, na nini. Akawa kanotice tu kuna tofauti but hajui tofauti hiyo vepeeeeeeeee, kuna shetani gani kapitaaaa. Hakujua kama mkewe kamuharibia inshu zake huku.

The challange with the nerd, he was so anti social. Mda wooote yuko busy, bsy as shit. And mda kidogo anaopata wa kurelax, he is such a boreeee! Mkienda nae mahali hataki Sisca acheze mziki, anamwambia it is not lady like, watu watamuonajeeee. Beach siku hio wameenda kujiachia, mmmh! Kwanza kachagua beach za bei poaaa! Khaaaaa! Beach ya 5000 kweli? Sisca akamwambia mimi siendi, basi nerd asili yake mpole mtu wa kufanya kitu hata kama mwanamke hakitaki maadamu kishaamua. Aka cancel trip baada ya kuambiwa private beach hela ndefuuu.

Baada ya kucancel hio trip, jmosi anamuuliza Siscaunaenda wapi this weekend. Akamwambia naenda private beach as planned. Heeeee! Akashtuka na kumwambia si nilisema hela sinaaaa, tukacancel. mmmmmmh! Akaambiwa taratibuuu, yeye ndo hela hana, ila Sisca kwenda beach hamtegemei yeye, kama yeye anabaki yeye bibie kwenda kuko pale paleeeee. Kama asili yake ya ubabe akamwambia na mimi nakuja huko. Makubwaaaa!

Kufika kule, bibie kajiachia na bikini yake, anaambiwa vaa mtandio, unatapitaje pitaje chiu, ushakuwa mtu mzimaaa. Khaaaaaaaa! Akavumilia. Kaagiza zake shots, analalika mwanamke hatakiwi kunywa mipombe mikaliiii, mwanamke anatakiwa anywe vitu laini kama wine. Akamwaga zile shots, akamwambia waiter mletee wine ya msalaba. Sisca ikabidi tu avumilie umri wenyewe ushasogea sasa atafanyaje.

Kitandani nerd nae alikuwa yumooo, manake nerd mbishi wa rohoooo, hataki tu kushindwa na anapenda kuwa in control mda woteee. He was a control freak. Anamtawala mtu mpaka basi, sio kumkalia kichwaniii, anachukua godoro na kumlalia kabisaaa huko kichwani. Mnaweza kukubaliana hiki, mda mwingine anaghairi ghafla tu, anachotaka yeye ndo hicho hicho.

Sisca akawa tu anavumilia tu, wapo wote, hivo mradi she had a man of her own. Na kuhudumia anahudumia fresh, kodi analipia, mafuta anaweka, akikuta vitu ndani vimeisha analeta au anatoa helaaa. Yani ikitokea swala la kulipia kitu sio majadiliano marefuuu, analipa tuuu, sema ndo ukubali shurti la utii, na heshima na kuishi atakavyo yeye.

Kimbembe MBA alivojua mshkaji wake ndo kajiweka pale, afu yeye bado anamuelewa demu akaamua kuwaharibia, ili Sisca arudi kuwa vulnerable aweze kumfaidi zaidi. Akamwambia Nerd, mimi huyu demu Sisca nimemfanya sanaaaa. Afu nimemfanya rafu rafuuu si alikuwa kazi ya nje! Nimemla mpaka kibogaaa, infact nilikuwa namla Tigo tuuu. Mi nakwambia hivo coz wewe mwanangu siwezi kukuachia uoe kimeo. Yule mwanamke wa kupiga tu, sio kuweka ndani.

Nerd akapinikiiii aka screenshot akamtumia hizo sms Sisca. Tobaaaaaaaaaaaaaaaaa!

Anny maisha yakawa yameanza kubanaaa, pesa yaa kuchezea tu hamnaaaa. Matumizi, mawazooo, magari ya kifahari hakuna, akawa Anny sio The Anny. Stress mpaka kaanza kuzeeka. Akaona hataaaa. Yule lawyer akawa ndo yupo close sasa balaa, kila siku anampigia simuuu.

Kilichomchosha kwa lawyer ni personality yake. Mshamba mshamba sanaaaaaaa. Gari analotumia bayaa, nguo anavaa cheap cheap, hajui kupangiliaa. Hana kiatu cha maana, wala mkanda wa maana, wala simu ya maana. Japo alisikiaga analipwa vizuri sanaa kwenye law firm yao, na ana A list clients kama Dady akawa tu hamuelewiii.

Akawaza kutoka na lwayer akaona sasa itakuwa kuruka mikojo kukanyaga mavi. Mwanaume wa vile atampeleka wapi. Dady alikwa mtu wa makamo lakini yumooo veterean yule. Suit anagiza online Italy, viatu Italy, simu latest ikiingia tu anayo, perfume za designers, yaani alikuwa anajipenda na anapenda kuishiiii. Hapendi kujibanaa banaaa wala nini.

Alimiss dady vibaya mnooo, maana kila siku alikuwa anawaza how to get better and better kufaidi maishaaaa. Ama kweli bahati haiji mara mbili, she blamed it all on the stupid cancer.

Angy akiwa bado kwenda kwenda kwa Dr, akashangaa nguo hazimtoshiii. Akaanza gym, Siku wakaonana na Anny akamwambia you are so pregooo. Akastukaaa, akanunua vipimooo. Kupimaa viatu vyote positive. Akachokaaa. Akaenda kwa Dr akamwambia it could be a boy huwezi jua. Alienda hospital kwa Dr wao mpyaa, manake wa zamani aliefanya nae ma inshu alihama mkoa akawa recomend kwa huyu mpyaa.

Akawa anatafakari aiache ikue au aishughulikie akalipie kule watoto wa kiume mapacha, au mazae tu huyu, azae na wale wa hospital. Akawa hajaamua. Anashangaa mume anarudi na mauaa, na furaha teleee. Hongeraa nyingi, akamwambia Dr gave me the good news. Finally! Tobaaaaaaaaaaaaa! Akawa hana pa kutokea, ikabidi tu ane afurahi manake mume keshajua tenaaa hivooo. Mamakwe kupiga simu asubuhi, usiku na mchanaaa, na kujisemesha cha kiume hikooo, baba yangu huyooo muangalie vizuri! Loooooh! Mimba miezi mi 4.

Dr akamwambia iko namna ya kuona jinsia advanced China akamfanyia booking akaenda kuangalia jinsia. Akaenda akaambiwa wa KIUME. Wacha afurahiii, hajawahi kufurahi namna ileeee maishani mwake. Hakumwambia mumewe ili amsurprise mtoto akizaliwa.

Sasa alimdanganya mumewe anarudi Jmosi, akarudi ijumaa ili tu kumsprise lamujer de mividaa tenaaa, finally mambo yanaendaa. Mungu kamuona na yeye. Kurudi akakuta mumewe hayupo lakini bag lake la safari lipo kitandani kama alivokuwa safari nae alisafirii pia. Akawaza tu kwanini hakumwambia anasafiriii? Roho ikamwambia lisachiii. Akalisachi akakuta tu nguo zake na karatasi, kuzifungua zile karatasi akakuta Regency Hospitals, jina la yule mchepukoooo. Khaaaaaaaaaaa! Aka kaa kwanza chini.

Akawa anasoma details sasa, zimeandikwa homornal count sijui nini, akawa haelewi vizuri ila mwishoni imeandikwa Fit to Conceive. Mmmmmhhhhhhhh! Akavaa akaenda Regency akaingia kwa Dr na zile karatasi. Akamwambia tarehe hii nilikuja na mume wangu hapa, tukamuona huyu Dr, sasa alinipa maelekezo nikawa sijaelewa vizuriii, nikaogopa kuuliza mbele ya mume wangu, ila naomba unielewesheee. Akamuuliza Jina, akataja la mchepukooo.

Dr akachukua karatasi zile akaingiza details kwenye system, akamwambia ni vema umuone huyu huyu Dr. wenu japo yupo Ulaya kwa sasa. Akamuomba masomee tu ile karatasi na kumelewesha. Basi akamwambia lile swala lao la kuzaa mtoto, linawezekanaaaa snaaa, maana tayari ana watoto wa kiume wa 3, so uwezekano upo mkubwa sanaa. Na hormones zake zipo vizuriii, hana tatizo lolote na hata akizaa uwezekano wa kuzaa mtoto wa kiume ni mkubwa sanaaa. Awe tu amani, atashika mimba tenaaaa. Akajifanya waooooh! Nashukuru Dr.

Alivotoka akasema maku vibuyuuu hawaaaaa, kumbe wanataka kuunganisha damu kabisaa kwa kuzaaaaa! Mazafantaaaaaaaaa! Mi natesekaaa, nasononekaaa, nahangaika kumbe wananizunguka na yao. She felt so batrayed, so useless, so aloneeeeeeee. Roho ikawa inamtukutaaaa. Hakurudi nyumbaniii akaenda kukaa hotelini. Kila hata akisema amshirikishe mtu kitu kinamkaba kooni, analia tuuu, na kusaga menoooo.

Akawa kadataaaaaaaaa. Akaamua kwenda Dispensary moja, ya rafiki yake ambae ni dr sema hio ni kama private practise. Kufika kule akampigia kuja, akamshangaaa why are you in very bad shape. Akamwambia i need an ABORTION. Heeee! Akastukaaa. Akagomaaa, akamwambia ya nje ya ndoa, niokoe. Akakubali akamuuliza utakuja liniii? Akamwambia ndo nimekuja tayariiii, manake tuingie mitamboni hivooo. Dr akasitaa ila urafiki denii ikabidi tu amsaidie.

Kakorofishaaa mambo, akamsafisha vizuri kabisaaaa, akamwambia hapo safi kabisaaa. Mambo byeeeeeeeee. Akarudi hotelini, sasa hasira kaliii ile ikaanza kupoa ndo akagundua kafanya nini, akazidi kuchanganyikiwa, akawapigia kina Anny na Sisca waendee.

Huku mumewe akaambiwa mkewe amerudi, akfika chumbani akakuta bag lipo wazi karatasi hazipooo. Akipiga simu haingiiiii. Kangoja usiku kucha hajarudiiii. Akawapigia mashoga zake. Wakamwambia kiukweli hawajui alipo. Akawa anahaha kumtafutaaa.

Kina Sisca wakamwambia tunakuja sasa hivi, mumeo anakutafuta si kidogooo, upo wapiii, akawaambia msije nae. Njooni tu i feel like diying right now.

ITAENDELEA SAAA 1 USIKU.
 
........Akamwaga zile shots, akamwambia waiter mletee wine ya msalaba...............

ha ha...ya madhabahuni..takatifu.....Lara una vimaneno fulani hivi ambavyo hadhira lazima tuendelee kuvutika kufuatailia story...vinaburudisha.....Lara we mkali
 
Hehe eti sisca nimeshamla kiboga sanaa,teh wanaume bana
 
@lara1 sijui kwanini unakifanyia hivi hichi kipaji chetu jamani[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] .I bet you have standards and exposure , do something with this mega talent please. Unaweza kuandika short stories ukaziweka kuwa kama collection fulani hivi.
 
@lara1 sijui kwanini unakifanyia hivi hichi kipaji chetu jamani[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] .I bet you have standards and exposure , do something with this mega talent please. Unaweza kuandika short stories ukaziweka kuwa kama collection fulani hivi.

What is talent without sponsors! Maisha bahati, kama nimeandikiwa kubahatika kutoka nitatokaga maybe! On the mean time nawaburudisha bureeee kama hivi. Sio kila ralent ya kuuza, some for public use. Bi kidude aliimba sanaa mziki wa bureee, kaja kulipwa kwa kipaji chake uzeeni.

Alipata tu recognition basi, kama nyie mnavoni recognize Lara 1, nashukuru Mungu.
 
Back
Top Bottom