Recent content by Kubalaza

  1. Kubalaza

    JamiiForums Tanzania Mbegu za tikiti maji zina faida gani mwilini ?

    Nimekula nimeamin...nipo fit sana tano kwa sita
  2. Kubalaza

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Viongozi wa BAVICHA Taifa wakamatwa kwa tuhuma za kuvaa T-Shirt zenye maneno ya kichochezi

    Hivi elimu yetu haitusaidii eeeh...hivi ukikaa kimya na kufanya majikumu yako inakuwaje..kwann mnawashwa na kuichokoza serekali...watandikwe hao bara'bara
  3. Kubalaza

    JamiiForums Tanzania Dar: Mwanadada ayagonga kwa gari majambazi 4 yaliyompora fedha kwa bunduki ya SMG

    Weeee jamaa nimecheka sana...wakulya ndo wakorofi au
  4. Kubalaza

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kupata mkopo kwa dhamana ya nyumba

    Mimi nyumba yangu cna chochote zaid ya mkataba wa kiwanja basi
  5. Kubalaza

    JamiiForums Tanzania Nataka nisiwahi kupiga bao nifanyaje?

    Daaaa nimecheka sana... Fanya mazoezi ya viungo...afu pinguza michepuko...kunywa bavaria 8.6%...hapo lazima atauliza nn umekula leo...kingine mkuu muandae kwanza
  6. Kubalaza

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Msanii Ndanda Kossovo afariki dunia Jijini Dar es salaam

    R.I.P camanda wangu
  7. Kubalaza

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar amtaka Meya wa Kinondoni aache malumbano afanye kazi

    Daaa mayor jaribu kuwa na haiba flani ya kutoropoka...kaa utulie piga kazi malumbano yasiyo na tija tupa kule..cpendi mtu anaelalama bila kuwa na 7bu za msingi...umekuja juzi tu nawe unatafuta kick...fanya kama makonda watu wana appreciate uwepo wake...sasa ww kama utajifanya unajua sana kuliko...
  8. Kubalaza

    JamiiForums Tanzania Ulanguzi wa mabati duka la jeshi Lugalo

    Mi napita tu
  9. Kubalaza

    JamiiForums Tanzania Nahitaji red garnet ya gololi; amethyst, rhodolite, zircon

    Nicheki 0759313890...nikymbushe kwa wasapu kuna mzee anayo aina nyingi huwa anakosa wateja...saivi naenda kijijin kumcheki
  10. Kubalaza

    JamiiForums Tanzania Laki tano tu unaweza badilisha historia

    Hakika nimefunguka
  11. Kubalaza

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua bei za bati za South Afrika

    Nenda maduka ya jeshi...either magereza ..jwtz...military shop...wazuri sana pia ni chee
  12. Kubalaza

    JamiiForums Tanzania Laki tano tu unaweza badilisha historia

    Wanaotaka kulima zao lolote lile wanione..nipo kibaigwa naweza kumpa akili ya kutoka...awe na moyo na apende kilimo...tikiti..kitunguu nyanya hoho...mana ktk ekari mbili watu hupata hadi million 20 na zaid kwa muda wa miez 4 ~6...0759313890... pia nikiwa kama mtaalam wa mifugo ntkupa njia za...
  13. Kubalaza

    JamiiForums Tanzania Laki tano tu unaweza badilisha historia

    Wahaya wanasema wakola waitu
  14. Kubalaza

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wafugaji wa kuku wa kisasa/kienyeji

    Kwa dodoma verry easy lkn kwa Dar cjajua
Back
Top Bottom