Nahitaji kujua bei za bati za South Afrika

chiefnyumbanitu

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
906
426
Habari za kutwa wana JF,

Naimani nyote wazima wa afya njema,

Lengo la kuandika haya nahitaji kujua bei ya bati ya msauth inanunuliwa bei gani maana zinachanganya naweza nikajikuta nanunua bati ya mchina nikazani ni msouth.

Ni hayo tu natanguliza shukrani kwenu.
 
Back
Top Bottom