Nahitaji red garnet ya gololi; amethyst, rhodolite, zircon

Nahitaji red garnet ya gololi; amethyst, rhodolite, zircon

wajingawatu

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
2,434
Reaction score
3,110
Nahitaji madini tajwa kiasi cha kilo 50 kwa kila aina ya kito. wenye moonstone, sunstone, tourmaline ya aina yoyote na kiasi chochote tuwasiliane
 
nina amethyst medium quality nauza 800,000 kwa kilo,hata ukitaka kilo 100 na supply
 

Attachments

  • amethy.jpg
    amethy.jpg
    67.9 KB · Views: 118
Nicheki 0759313890...nikymbushe kwa wasapu kuna mzee anayo aina nyingi huwa anakosa wateja...saivi naenda kijijin kumcheki
 
Back
Top Bottom