Recent content by Koomson

  1. K

    JamiiForums Tanzania Harmonize ni bora kuliko wote WCB nzima

    hiyo ni nadharia tete AKA DWARFISM Theory
  2. K

    JamiiForums Tanzania Harmonize ni bora kuliko wote WCB nzima

    oops... Uozo mtupu, how can Harmonize be better than the one who pumped up his career HahahaHa unafeli boss haiwezi kuwa hata kidogo
  3. K

    JamiiForums Tanzania NOTION: Bongo Muvi inafeli wapi?? Warekebishe nini?

    Very strong idealism Buddha, it s true kabisa katika soko la filamu tz uchawi ni hayo mambo uliyoyazungumzia Labda nyongeza kidogo kunatatizo Katika umoja wao kama wasanii sijui wanashida gani Kwasababu wamefanikiwa kujiwekea Matabaka wao wenyewe, kwamfano kuna incidence fulani ya uzinduzi wa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

    usikalili maisha, time will come kwa hawa watu wanaoonekana ni waoga, waogofi wakakubali kufanya mabadiliko unajua ogopa sana mtu mpolee au Mkimya kwani siku akikusudia kufanya jambo ujue amedhamiria. So mabadiliko hayakwepeki hatakama itakua ni Karne ya 30.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa

    hHahhha lit HIYOOO BabaAkoooo
  6. K

    JamiiForums Tanzania CHOMBEZO:NIFANYE NA MIMI KAKA DICK

  7. K

    JamiiForums Tanzania Headphone original inauzwa

    BEI gani boss
  8. K

    JamiiForums Tanzania SPECIAL TO ALL MEN 🦍🦍

    Ooh 😎😎😋😋 Kweli Samson na Delilah
  9. K

    JamiiForums Tanzania SPECIAL TO ALL MEN 🦍🦍

  10. K

    JamiiForums Tanzania SPECIAL TO ALL MEN 🦍🦍

    Mwanaumee kuwa katika mahusiano yamkini na dada Fulani uliyempenda then dada Yule anaanza mikato fulani sio kama kukupeleka peleka kama mbuzi Halafu jamaa zako wa kawaida hawakushauri chochote ......although wapo watakaosema wakati wa kutongoza hukuwa Nao but mwanaumee anapopotea lazima...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Msaada. Ni zawadi gani nzuri kwa rafiki wa kizungu?

    🤗🤗 nikupongeze kwa ujasiri wa kuuliza, what I know n kwamba zawadi kubwa kwa wenzetu wamagharibi hasa kwa jinsia ya kike ni MAUA hapo ataamini kweli unamthamini yangu n hayo🍁🌷🌹
Back
Top Bottom