Harmonize ni bora kuliko wote WCB nzima

Oohhooo it's me agaaain! Comrade kipepe mzee wa nyika, KING OF THE JUNGLE! Leo teeeena nipo mitamboni hapa jf kwenye moja na mbili! Nateleeeeza kama nawinda swala
Hahaaha ebanaeeeee! Leo mzee mzima kipepe sijaenda kuwinda vitoweo nipo off nimepumzika home,nipo juu ya sofa kaliiii la mchina, pembeni nikiwa na glass ya maziwa ya nyati! Mbele ya upeo wa macho yangu naangalia tv flat screen inch 52, nacheki video kaliiiii ya Huyu mwana harmonize a.k.a mmakonde wa tandahimba!
Ebanaa jamaa anajua sana anaimba vizuri kuliko hata chai Jaba, nyimbo zinaeleweka yani ni full Ujumbe... Anakwambia NEVER! NEVER ! NEVAAAAAA GIVE UP!!
Ebana WCB inabebwa na huyu mwamba
oops... Uozo mtupu, how can Harmonize be better than the one who pumped up his career HahahaHa unafeli boss haiwezi kuwa hata kidogo
 
Back
Top Bottom