Headphone original inauzwa

thA goD

JF-Expert Member
Jul 27, 2017
1,941
1,844
Orijino XK headphones. Beat nzuri iliyochujwa kiufanisi wa hali ya juu. Fm radio na highly magnified mic kuongelea. Long range of Bluetooth and so on. Serious buyer nichek DM. Napatikana Dar mkoani situmi so ni hivyo.
IMG-20190518-WA0001.jpeg
IMG-20190518-WA0003.jpeg
IMG-20190518-WA0004.jpeg
 
Hizi head phone hapana aisee nili jaribu mara moja ni balaa zina gonga mziki sijawai onaa. Yaani kama ukitaka kukaa kimyaa usionge na mtu vaa kama hutaki kelele..

Nilivaa kwenye msibaa bwana wewe watu walinichukia maana wanaita wapi wanaongelesha wapii.
Na wewe kuvaa Head phone msibani ni Ushambaa usiolekezekaa... Au msiba ulikuwa usukumaniii
 
Tulikuwa kwenye gari safarini. Mda ambao kila mtu ana mambo yake. Sasa kuna wale wazee wanapenda kusumbua watu wanajifanya wanakuonyesha historia ya maeneo.
Aaha kumbe safarini kuelekea msibani sawa...
 
Back
Top Bottom