Recent content by Konya

  1. Konya

    Usije kuoa mwanamke ambaye hajalelewa na wazazi wote wawili

    Kuna jamaa alioa singo maza halafu amelelewa na mama tu, anajuta kila siku, kidogo kafungasha karudi kwao na mama mtu anampokea fresh tu tena bila hata ya kutaka kujua kumetokea nini, na anaweza kukaa kwao hata miezi 3 mpaka afuatwe ndo arudi lakini michezo yake ndio hiyo.
  2. Konya

    Naomba ushauri: Nataka kuachana na Mwanamke ninayeishi naye

    hawa watu ni shida japo sio wote, wenye uzoefu wanaweza kulitolea ushuhuda, yalinikuta, mwanzoni unaweza kujilaumu kwa nini ulichelewa kumfahamu kumbe anakuingiza kingi anyway siamini kama wote wako hivyo
  3. Konya

    Mahusiano yanataka kuniumiza akili

    nilikuwa nalitafakari hili, miaka 9 kwenye mahusiano, halafu amrudie x, inawezekana lakini.
  4. Konya

    Tulio na sitosahau kwa sababu ya changamoto za kiuchumi tukumbushane na kufarijiana hapa

    Haya mapito usimuliwe tu, kwa waliopitia mziki wake wanaujua vizuri, hutakaa usahau maisha yako yote, sikumbuki hata niliyapitaje pitaje, ila hapana!! thanks God, niwape pole wale wote waliopita humo.
  5. Konya

    Serikali kupitia TCRA yaipiga Clouds FM faini Sh. Milioni 12 kwa ukiukwaji wa Maadili ya Habari

    Kama hali ndo hii, ni bora kuweka silaha chini na kuwa upande wa adui, vinginevyo itawagharimu.
  6. Konya

    Sehemu ya Jengo la Studio za Clouds Media Group yaungua moto

    Poleni CMG, Mungu atuepushe na haya majanga
  7. Konya

    Russian hacker Roman Seleznev sentenced to 27 years

    inaonekana jamaa yuko smart sana kwenye hacking
  8. Konya

    Tanzania Revenue Authority vs Tanzania Tax Authority

    sidhani kama ni sahihi kuwatupia lawama hao tra, wakulaumiwa ni wabunge kwa kupitisha sheria ambazo ni kama kandamizi kwa walipa kodi.
  9. Konya

    Russia Warship has entered the Eastern Mediterranean

    na kwa hili sidhani kama uhusiano wa usa na urusi utakuja kutengemaa tena kama walivyojinasibu wakati trump anaingia ikulu
  10. Konya

    Halotel mshaanza kuniboa

    Kwa upande wangu halotel walikuwa ndo chaguo langu la kwanza kwa makampuni yanayotoa huduma ya internet na kiukweli by then nilifurahia huduma zao lakini kwa zaidi ya wiki mbili sasa sitaki kuona hata mabango yao barabarani,kila dk inadisconnect,spidi yenyewe ni matatizo balaa nimeamua kuachana...
  11. Konya

    Hivi kwa hili huwa mnatukomoa tu au ni wajibu wenu?

    Tena ni afadhali uwe ndo mzigo wako kidogo unaweza ukavumilia,wengine hata majirani watamtambua,japo ilikuwa hainihusu ..nakumbuka kapafyumu kangu nilipigwa maruduku na sabuni niliyokuwa natumia nikaambiwa nisithubutu kuitumia daah..ilikuwa ni shida, Mungu awabariki tu jamani kwa hayo mapito
  12. Konya

    Waziri Mkuu Majaliwa apiga marufuku mikutano ya kisiasa

    hili tamko la mh waziri mkuu lina walakini kwa sababu halina ukomo na pili kama ishu ni kushukuru tu tatizo liko wapi? nafikiri angetoa maagizo kwa wahusika kwamba yoyote atakayetoa maneno ya uchochezi ndo wachukliwe hatua kali za kisheria
  13. Konya

    Kwanini Dr. Tulia asijiuzulu kupisha uchunguzi?

    nafikiri ni suala ambalo linamgusa hata mh.raisi pia,na linahitaji umakini wa hali ya juu kulimaliza ili kulinda heshima na kuaminika kwa yale anayoyasimamia na pia kumpunguzia pressure dr tulia mjengoni
  14. Konya

    Magufuli afyeka 50 waliokuwa kwenye orodha ya kushiriki ziara ya Madola

    ningependa kuona pia anarudisha nyumba za serikali zilizouzwa ili kuokoa mamilioni ya pesa ambayo serekali inatumia kuwalipia watumishi wake gharama za kukodisha nyumba za kuishi
Back
Top Bottom