Recent content by Konksenior

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tambua Kuwa Mwanamke Anapenda Umpe Hisia Tofauti Tofauti.

    Hakuna formula tusidanganyane bhana
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nimepata mke mtarajiwa ila nashindwa.......

    Anza kumtumia meseji usiku mida ya nne au saa tano,mtumie maneno "nakupenda Sana ( mtaje jina) , nahitaji kuwa na wewe maishani kama wapenzi halafu unatulia kimya ukisubili jibu lake ,akijibu hapo ndo muendelezo wa mtongozo msifie Sana ,lalamika sana kuwa wewe huweziishi bila wewe . Mwanzo ni...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Shamrashamra za Valentine zinakera!

    Mumy nataka kuwa valentine wako
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wakuu mbona wanawake wako hivi

    :D:D
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wakuu mbona wanawake wako hivi

    :D:D:D:D:D:D:D:p
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wakuu mbona wanawake wako hivi

    sasa kwann akubali hela zangu halafu hanitafti
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wakuu mbona wanawake wako hivi

    Habarini wakuu, Nimepitia mahusiano mengi na wanawake, hivi kwanini wanawake wengi ukiwatafuta hawakutafuti ila akiwa na shida tu. Ila akiwa hana shida na wewe ndo hakutafiti kabisa. Hivi hawa viumbe huwa wanataka nini. Huwa siwasomi kabisa hawa watu jamani.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nampenda lakini nahofia atanichukuliaje?

    Msifie akija ,kwamba kapendeza au mzuri sana baada ya hapo mwambie kiutaratibu naweza kupata namba yako ,ukichukua namba msalimie na kumtakia Asubuhi,mchana na jioni njema,kisha akisha kuzoea omba mtoke out umueleze ya moyoni
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hivi style gani ya mavazi wanawake mnavutiwa nayo kwa wanaume

    A asante mkuu kwa ushauri wako
  10. K

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwanamke dah! Nahitaji Msaada aisee

    una hela wewe dogo
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hivi style gani ya mavazi wanawake mnavutiwa nayo kwa wanaume

    Habari wakuu, hivi wanawake mnavutiwa na aina gani ya mavazi kwa wanaume ,tiririkeni wakuu
  12. K

    JamiiForums Tanzania kila mwanamke ninae muomba mtoko anazingua

    Asante sana bulaya kwa ushauri wako mzuri nitaufanyia kazi
  13. K

    JamiiForums Tanzania kila mwanamke ninae muomba mtoko anazingua

    sijawahi mwambia kwasababu nimeshindwa kuonananae uso kwa uso
Back
Top Bottom