Nampenda lakini nahofia atanichukuliaje?

Vema, umefikiri kabla ya kutenda. Hapo kuna mawili, kumpoteza mteja ambaye umekiri ana mchango mkubwa, au kuwa nae mkasonga mbele. Ila kwa kuwa ni mteja wako tayari, tumia hiyo frusa... Mfanye awe huru ajapo kwako, umfahamu nae akufahamu, (nadhani unaelewa nachomaanisha) hapa papara ni marufuku! Kwani unaweza kumfukuza mteja/wateja wako wewe mwenyewe.
 
Mkuu amini nakuambia wanawake wanapenda kutongozwa sababu ndio kipimo cha thamani yao, wasipotongozwa wanaenda hadi kwa waganga, akiwa mgumu usimlazimishe ili urafiki wenu uendelee.

"Huwezi kujua kama inawezekana mpaka utakapojaribu" acha uoga
kesho naanza process mara moja.. nitajitupa kama shilingi bahalini..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msifie akija ,kwamba kapendeza au mzuri sana baada ya hapo mwambie kiutaratibu naweza kupata namba yako ,ukichukua namba msalimie na kumtakia Asubuhi,mchana na jioni njema,kisha akisha kuzoea omba mtoke out umueleze ya moyoni
 
Polee Mkuu Cha Kufanya Jaribu Kuamua Kiume Mueleze Hisia Zako Uenda Atakuelewa Na Pia Kuhusu Sijui Kuogopa Kumpoteza Mteja Hapana Ni Hofu Yako Tu,
 
Waseminary mna nn lakini??
yani kumwambia tu dem unampenda
unaona ajaabu!!
kuna tofauti sana kaka, kati ya dem unaempenda na yule usiyempenda.. hv huoni kuwa mtu unaempenda sana hata ukishamuona tu mapigo ya moyo yana badili direction!!!? ila kwa usiyempenda yaani unajiachia domo kubwabwaja kama bata ndani ya maji..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vema, umefikiri kabla ya kutenda. Hapo kuna mawili, kumpoteza mteja ambaye umekiri ana mchango mkubwa, au kuwa nae mkasonga mbele. Ila kwa kuwa ni mteja wako tayari, tumia hiyo frusa... Mfanye awe huru ajapo kwako, umfahamu nae akufahamu, (nadhani unaelewa nachomaanisha) hapa papara ni marufuku! Kwani unaweza kumfukuza mteja/wateja wako wewe mwenyewe.
Perfect, yaani hapo sawa, ndio maana nikaja kuomba ushauri hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom