financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,522
Kijana anatuangusha hadi sisi wadada, ukipewa assist funga siyo unabutua[emoji3]Em msaidie mbinu huyu kijana mzembe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana anatuangusha hadi sisi wadada, ukipewa assist funga siyo unabutua[emoji3]Em msaidie mbinu huyu kijana mzembe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi mbususu ni mema ya nchi kumbe??Yaani umepata assist bado kufunga tu unataka kubutua mkuu, na usipoenda kwa step unaweza ukala kibuti kabla hata hujafaidi mema ya nchi😀
Ngoja nifanye hivyo mkuu.Anza kumtumia meseji usiku mida ya nne au saa tano,mtumie maneno "nakupenda Sana ( mtaje jina) , nahitaji kuwa na wewe maishani kama wapenzi halafu unatulia kimya ukisubili jibu lake ,akijibu hapo ndo muendelezo wa mtongozo msifie Sana ,lalamika sana kuwa wewe huweziishi bila wewe .
Mwanzo ni mdumu ila jikaze hata saiz mtumie meseji halafu utupe mrejesho
Atakufa kwa presha meseji isipojibiwa, kusubiria majibu ya namna hiyo ni magumu sanaAnza kumtumia meseji usiku mida ya nne au saa tano,mtumie maneno "nakupenda Sana ( mtaje jina) , nahitaji kuwa na wewe maishani kama wapenzi halafu unatulia kimya ukisubili jibu lake ,akijibu hapo ndo muendelezo wa mtongozo msifie Sana ,lalamika sana kuwa wewe huweziishi bila wewe .
Mwanzo ni mdumu ila jikaze hata saiz mtumie meseji halafu utupe mrejesho
Moyo kurukaruka haimaanishi ndio mke mtarajiwa. Unaweza mtongoza na akakubali ila mkiwa kwenye mahusiqno ndio ukajua kuwa sio.Wakubwa zangu nawasalimu Sana,
Nimepata namba za huyu Binti ambaye anafanya Moyo wangu uwake moto na kukukuruka naombeni msaada wenu nawezaje Anza mawasiliano na yeye ili na Mimi nifaidi mema ya nchi.
Mimi ni Domozegee.
Moyo ukirukarukatuma picha zake 3 full pamoja na picha zako mbili na moja ya moyo wako
😁😁 ukitetema kama mayeleeeMoyo ukirukaruka
Wakubwa zangu nawasalimu Sana,
Nimepata namba za huyu Binti ambaye anafanya Moyo wangu uwake moto na kukukuruka naombeni msaada wenu nawezaje Anza mawasiliano na yeye ili na Mimi nifaidi mema ya nchi.
Mimi ni Domozegee.
Kitambo sanaSema nae, Usione soo kuhusu kusubili au kutumia Ndom mkuu
Unamaanisha mema ya nchi anayoweza kukupa mwanamke ni mbususu pekee? Vipi kuhusu mambo mema mengine kama ushauri, usaidizi. AahHivi mbususu ni mema ya nchi kumbe??
Una uhakika kila mwanamke ni msaidizi au mshauri mzuri?Unamaanisha mema ya nchi anayoweza kukupa mwanamke ni mbususu pekee? Vipi kuhusu mambo mema mengine kama ushauri, usaidizi. Aah
Sawa and there you go, una uhakika mema ya mwanamke ni mbususu pekee? Kama unaamini kuna hao wanawake wachache wanaweza kuwa washauri wazuri basi nadhani usiseme kwamba ni mbususu pekee, na huenda huyo mleta uzi akampata huyo mwenye more than just a mbususu.Una uhakika kila mwanamke ni msaidizi au mshauri mzuri?