Recent content by kongoro nazi

  1. kongoro nazi

    JamiiForums Tanzania Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Koboko siyo mweusi ni wa rangi ya kijivu mweusi wa kung'aa ni Cobra, ila Koboko mdomoni ni mweusi kama ulivyoandika
  2. kongoro nazi

    JamiiForums Tanzania Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Hapana kifutu ni aina nyingine kabisaa
  3. kongoro nazi

    JamiiForums Tanzania Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Usije kujaribu tena kumkanyaga huyu nyoka ana sifa ya kukwepa speed yake inakisiwa ni 150 hadi 180 kwa saa
  4. kongoro nazi

    JamiiForums Tanzania Wapangaji wa nyumba za kuishi tuna tabu kweli kweli

    Inategemea na mkataba mliandikiana kama utakuwa una renew miezi miwili kabla atakuwa yupo sahihi ila kama itakuwa ni mwezi kabla hayupo sahihi na unatakiwa umuonyeshe mkataba na umwambie unauheshimu mkataba wenu
  5. kongoro nazi

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Manabii na Mitume matapeli, tumechoka kuwavumilia sasa

    Amefungua kanisa segerea jirani na oilcom
  6. kongoro nazi

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume ni wachafu sana, wanalala na kahaba anayetembea na wanaume wengi

    Kila biashara inawateja wake siyo kwamba wanaume woooote huwenda kununua hao makahaba, Ushahidi nilionao wanunua makahaba wengi ni vijana wanaofanya biashara kutembezaa, kazi za vibarua nakadhalika
  7. kongoro nazi

    JamiiForums Tanzania Epuka wizi wa benki unaofanywa na benki tellers

    Imewahi kunitokea nimeibiwa 30,000
  8. kongoro nazi

    JamiiForums Tanzania Je, limbwata lipo?

  9. kongoro nazi

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe enzi za ufalme wa Inspector Haroun

    Hili daluga kichugachuga unenge zari masabe take care machizi wanatambaa na boda, zamani sana ila alisalimu amri kwa kiroboto
  10. kongoro nazi

    JamiiForums Tanzania Kuna Watu wana kipaji cha kujipendekeza

  11. kongoro nazi

    JamiiForums Tanzania Wazazi wenye Wachezaji hawa wafuatao wa Yanga SC waonyeni wasikubali kubebeshwa ' Hirizi ' mtawakosa

    Tukutane baada ya dakika 90 kesho mapema sana nitakuwa kwa mchina na jezi yangu ya kijani
  12. kongoro nazi

    JamiiForums Tanzania Wizi wa kijinga sana unafanyika Mwanza

    Akisha kuomba hela anakutumia namba za mtu mwingine na jina lake ili umtumie hiyo hela, hauitumi kwenye account yake
  13. kongoro nazi

    JamiiForums Tanzania Tabora: Watoto wanazaa watoto wenzao; wazazi na walezi tuko wapi?

    Nakubaliana na hili aisee mtoto wa dadaangu alimaliza darasa la saba akiwa na mimba kubwa sana kiasi kwamba matokeo yanatoka na yeye amejifungua, kwasababu zamani waliozaa walikuwa wanarudi shule alibahatika kuendelea na masomo
  14. kongoro nazi

    JamiiForums Tanzania Michirizi ya Damu

Back
Top Bottom