Je, limbwata lipo?

Je, limbwata lipo?

IMG-20170224-WA0023.jpeg
 
Wale wanaopenda kwa upendo, huwa hakuna limb
wata, ila ukikutana na walaghai wamapenzi ndipo utakutana na limbwata. Kwa
sababu hapo limbwata utumika kwa kuweka mambo yake sawa.
 
Mbona mnanitisha jamani na me ndo nipo kwenye harakati za kutafuta mwenza wa maisha ambaye atakuja kuwa mama bora kwa watoto wake. Kweli maisha nikama kalatazi linaweza chanika mda wowote kwa kitu chochote chenye ncha kali.
 
Unaingizwa Mkenge.

Hiyo video inahusu nini?
Sijui kama ni mkenge!
Hayo yote Mimi niliambiwa na mama yangu mzazi tukiwa katika stori!
Na najua ana uhakika Na kile alichokua ananiambia yeye ni muhehe pure!
 
Hiyo video inahusu nini?
Sijui kama ni mkenge!
Hayo yote Mimi niliambiwa na mama yangu mzazi tukiwa katika stori!
Na najua ana uhakika Na kile alichokua ananiambia yeye ni muhehe pure!
Hiyo video inahusu utapeli wa so called waganga Tricks wanazofanya kuwaibia watu.

Magic Tricks Revealed.
 
bora wewe uliyeitwa majina ya watu katikati ya mchuano..wengine tulitoka bila...
 
Hahahahaha Kuna ex wangu mpaka waleo sometimes hukosea jina na kumwita mkewe jina langu...

Mkewe mwanzo alimind sana mpaka akazoea na kuamua kumuuliza mumewe.. Hivi huyo........ Ninani??
Mumewe akaamua kumueleza ukweli tu if not you was her,, she was the woman of my life
Nilishangaa sana roho ya huyo mwanamke.. Alichomwambia mumewe seems ulimpenda na unampenda sana..... Na ikitokea hata leo hii ukacheat naomba ucheat na...... Au Ukitaka kuongeza mke wa pili naomba awe..... Make namuheshimu sana nayeye atakua mkubwa mi mdogo.



Cc Smart911
basi usinianike hivo jamani!! hamna kesi hapo mwenzio nilikupendaga sana!!
 
Mimi nililetewa hadi mimba nikasamehe, nilishafumania nikasamehe, nilishaitwa majina ya watu katikati ya game nikasamehe.

Sikujua kama ningeweza kuishi bila yule mdada, after six good yrs alipata mwanaume akaniacha nikaweweseka sana mikawa mlevi ni hatari kazini hawanielewi nikakonda kwa mawazo.

Huko alikoenda alitandikwaga hadi akang'olewa jino wengine hawataki ujinga. Akajaribu kurudi kwangu akakuta moyo umekunjamana namuona kama shetani kinyago. Kila nikikumbuka ile hali najiona jinsi nlivokuwaga mjinga.

Usicheze na mapenzi.

Namuomba Mungu hii hali isije ikanirudia tena kwa mwanamke nitayeishi nae.
Na hyo mimba uloletewa ilikuaje je uliilea au??
Na alijifungua??
 
Back
Top Bottom