HUU ndio wakati ule anamfunga kamba za viatu Ridhwani!!! Siku hizi Mkwere hataki hata kuona sura yake toka amuorodheshe mwanae kwenye ile orodha yake ya wauza ngada!!
Kapambana sana kwa tunaomfahamu kidogo, jamaa kafika hapa kwa mbinde acha awapime tezi wanaume wa dar.Ila Makonda kapambana sana hadi hapo alipofikia!Muacheni tu ale raha za nchii!