Je unatafuta watu wa kukuandalia katika shughuli yako?..Unatafuta chakula kitamu lakini hujui wapi pa kuanzia? ...Kwa mahitaji ya huduma ya vyakula,vinywaji katika shughuli mabalimbali kama Harusi, Send Off, Kitchen Party,Komunio, Msiba, Ubatizo n.k....tena kwa bei nzuri ambayo itakidhi uwezo...